![]() |
MAREHEMU INSPECTOR NESTORY NDABAGOYE 1949 - 2005 |
Leo tarehe 19/02/2012 umetimiza miaka 7 tangu Mungu alipokuita baba yetu mpendwa katika makao ya milele. Japo haupo pamoka nasi kimwili, lakini kiroho upo pamoja nasi. Tunakumbuka Upendo, Ukarimu na Ucheshi wako kwa watu wote waliokuwa wanakuzunguka pamoja na misaada mingi uliyokuwa ukiitoa kwa jamii hasa vijana na wazee. Tunamshukuru Mungu kwa ujasiri aliotupa ile kuweza kukubali kwamba hatutakuona tena hapa duniani.
Ukumbukwa sana na mke wako VICTORIA NDABAGOYE, watoto wako NORAH, NOEL, HOSIANA, EGIDIO, VICTOR na ABEL pamoja na wenzi wao, ndugu zako, shemeji zako, wajukuu, marafiki na wanaukoo wote.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Bwana alitoa na bwana alitwaaa jina la Bwana lihimidiwe. R.I.P
ReplyDeletecarlos Muhuga