Home
Unlabelled
kumbe watasha nao wanapuliziaga kiganjani??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Manyau nyau wa liverpool..
ReplyDeleteMentality ya mswahili bwana... kila kitu kuhusisha na uchawi...
ReplyDeletehahahahah, nimechekaje jamani, nao wamo ankal
ReplyDeleteHapana, wenzetu si washirikina kama sisi Waafrika. Nakumbuka mwaka 2004 Morogoro mjini paka alichomwa moto akiwa hai hadharani na hamna hata kiongozi mmoja wa dini au wa siasa Tanzania nzima aliyekemea ushenzi na ukatili huo uliofanywa hadharani na kutolewa katika gazeti la Majira jumapili. Ujinga na ushirikina ni chanzo kikubwa cha ushenzi. Tuache kuwa washirikina. Tuko karne ya 21, tumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake na tukabali kuwa sayansi, teknolojia na uchapakazi (si uchawi) ndio ukombozi wetu. Ahsante sana Ankal Michu (mdau wa fulana maarufu) kwa kuchapisha maoni yangu.
ReplyDeleteMnasema soka la africa tu ndo uchawi unatumika! hii nini?
ReplyDeletewatu bwana, eti spurs walitaka washinde, aliekuambia niwao walimleta huyo nyau nani? nyau wewe pumbavuuuu
ReplyDeleteIngekuwa Bongo huyo paka lazima angeuawa kwa kusingiziwa 'mwanga'.
ReplyDeletehe he heee mngeomba na nyinyi mbebwe chealse mlijiona mko juu ha ha haaa sisi ndio red devil bwana wala hatukubebwaaa ni raha tuuuuu ha ha haaaa! man u daimaaaaa!
ReplyDeleteHuyo paka kaja na mwenyewe humo sio kila kitu uchawi mbona hivyo wajameni itakuwaje sasa ,nafikiri Ulaya ndio bara la kwanza kwa kuwa napaka wengi zaidi ya ulimwengu wote na wanatunzwa na wana haki sio kama kwetu huko ushenzini kama si uchawi ni chakula swain wakubwa watanzania!
ReplyDeletewe mdau wa Tue Feb 07, 09:18:00 AM 2012, HAPA NI JUST JOKES , vichwa vingine mnachelewa kuelewa kweli kweli!!!!dah
ReplyDeletemdau-changose
ingekuwa bongo sasa hivi kesha kuwa marehemu
ReplyDeletehawana muda huo wakuchezea na kutafuta ushirikina kwenye michezo ni juhudi na maarifa ndiyo inayo tumika kwenye michezo
ReplyDeleteWale "Stewards" walimbeba baadae sijui walimpeleka wapi.Lingekuwa pambano la S na Y kingekuwa kizaaa.Timu zimejaa wasomi lakini Imani za kishirikana kibao.Mwesi upo hapo??
ReplyDeleteDavid V
Usitake kusema mentality za kiswahili hata mtangazaji jana kasema wapo wanaofikiria Uchawi kwahiyo hata wazungu wanafikiria hivyo, Manchester United wana mchawi wa karne mpya Howard WEBB, ila Ankal kaleta Mada kwa kufurahisha chukue au acha juu yako. Huyo Nyau wa Zanzibar au Tanga au Bagamoyo itakuwa Italy Lol. Ndosi.
ReplyDeletewewe Anon wa 09:18:00 AM
ReplyDeletenani kakudanganya kuwa ni mentality ya mswahili? I wish ungewasikia commentators wa chanel niloangalizia mechi jana, nayo ni ya haohao waingereza.
Huu Mfugo utakuwa umechomoka kwenye Kapu la Babu Rednap, kaumbuka mi huamini yule mzee sio bure anajua vituzi vya kibagamoyo hawezi kuwa anagaa kila msimu, kumbe yumo bana
ReplyDeletehuyo ni nyau wa dalglish hata comentator alijoke hivyo. hata wazungu wana hisia na matendo hayo ya kishirikina kama sio neno superstitious ambayo maana yake ni "convinced that performing or not performing specific actions brings good or bad luck, that some events or phenomena are omens, and, generally, fearfully believing in a supernatural dimension to events" limetoka wapi? nakumbuka nilimsikia comentator akisema "it's not even a black cat so it doesn't bring any lucky" hao jamaa weupe kwa uchawi wanatuzidi sana sisi. wakati sis tunaogopa paka mweusi wao ndio wanaona ni safi huyo.
ReplyDeletehttp://thekop.liverpoolfc.tv/_My-Pet-the-Kopite/photo/14650616/173471.html?enlarge=true
ReplyDeleteHuyo juu Kopi Endi Pasti atakuwa ndio huyo nini? @ Ankal
Hata ukimwangalia huyo paka sura yake kafanana na K.Danglish
ReplyDeleteUchawi upo Ulaya na unatumika sana.mfano kuna gazeti www.ukmetro.co.uk kuna ukurasa wa waganga wa jadi.
ReplyDeletemiaka mtano iliyopita Uingereza walifanya sensa za waganga na wachawi ambao ni registered.wachawi walikuwa na idadi ya watu mia nane.waganga walikuwa maelfu.
hata Ancelloti aliyekuwa kocha wa Chelsea aliwahi kusema kuwa Drogba anatumia uchawi hakuna mchezaji atakayeweza kuchukua namba yake na ushahidi uko Shivshenko alishindwa,Mutu alishindwa na sasa Torres.
Jose Morninnho anatumia sana uchawi amewahi kwenda Mombasa kutafuta waganga na hata Uingereza imetawala nchi nyingi kwa nguvu za uchawi. malkia huwa anafanya matambiko nyumbani kwake Windsor.
kuna mganga wa kihindi anaitwa Meera andika First indian lady to combine the powers and secrets of tarot.simu yake +447590894770.
au Mr.soreba spiritual healer love and relationship specialist huyu anatoka spain.Simu yake +447961038985 jaribuni ku google mtajiona mambo.
na huyu paka atakuwa wa Reidnapp kwa vile ana kesi mahakamani ameamua kuwakilishwa na paka uwanjani jana hakuwepo uwanjani.
wazungu wanafanya sana ushirikina.msiwaone wazungu ni watu tofauti na sisi.wana mapungufu yao zaidi yetu.