Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ukaguzi wa Ujenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari huko Chukwani Mjini Unguja kulia Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayanzi ya Bahari Dk Margare Kyewalyanga kushoto DK Narriman Jiddawi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassani (katikati) akitembelea Ujenzi wa Jengo la chuo cha Taasisi ya Sayansi ya Bahari kilichopo Chukwani Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Unguja Kulia Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari Dk Margareth kyewalyanga[Picha na Ali Meja]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...