Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Emanuel Humba akitoa maelezo ya Mradi wa Mama Mjamzito na Mtoto Mchanga mkoani Tanga wakati wa uzinduzi wa mradi huo kwa wadau mbalimbali wakiwemo wafadhili wa mradi huo ambao ni Benki ya Ujerumani (KfW).
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh. Chiku Gallawa akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu,Emanuel Humba. kushoto ni Mwakilishi wa KfW,Dk Kai Gesing.
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Emanuel Humba kabla ya uzinduzi.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF, Eugen Mikongoti kulia na Meneja wa Kanda ya Kaskazini Mashariki,Chris Mapunda wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa.
Akina mama wajawazito ambao tayari wameanza kunufaika na mradi huo kwa kupata matibabu kupitia Kitambulisho cha NHIF.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh. Chiku Gallawa Akikabidhi kadi kwa akina mama wanaonufaika na mradi huo.
.jpg)
Natambua kuwa mfuko huu upo serikalini, je huduma hii ni kwa wajawazito na watoto wasio wanachama? Je huduma hii ni ya kudumu au ya muda tu kwa mama wajawazito na watoto.Je kuna kiasi chochote cha pesa kinachotolewa kila mwezi au ni bure?
ReplyDeletehuo mradi kwa Tanga tu na Da es Salaam unakuja?nomba utujuze kaka michuzi kwa wajazito DSM tunapata shida sana
ReplyDelete