Wife comes home late at night and quietly opens the door to her Bedroom.
From under the blanket she sees four legs instead of two.

She reaches for a Baseball Bat and starts hitting the blanket as hard as she can.
Once she's done, · ·with a sense of pride and satisfaction she goes to the kitchen to have a drink,
· ·As she enters, she sees her husband there, reading a magazine. · ·
" Hi darling" he says....  
" Your parents have come to visit us, so I let them stay in our bedroom. Hope u have said Hello.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. He hee hee!!!...Push it to the Limit

    David V

    ReplyDelete
  2. Haluu... wenye kujua mila tuhabarisheni. Wazee wazamani walikataa mtu kumlaza mama mkwe wake chumbani kwake (Anapolana na mke wake) maana mambo kama hayo yanaweza kutokea. Japo wengine wanasema dunia ye leo lakini matokeo yake mambo kama haya yanaweza kutokea...hapa tunaona utani lakini kwa kweli si utani kama hashima ya mama mkwe imevunjwa...

    ReplyDelete
  3. Whaaaaat? a wife yelling.
    Husband asked"hey what is the matter with you?"

    ReplyDelete
  4. Na kwa nini wakwe walale chumbani kwa watoto wao, ndio maana wanakula kipondo!

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni ndoa ya vichaa! utakaribishaje mtu mwingine kwenye chumba chenu cha kulala hata kama ni wazazi! Huyu mwanamme hana akili sawa

    ReplyDelete
  6. Kudadadeki

    ReplyDelete
  7. kweli kabisa, ni vyema kuchunguza kwanza ndipo uchukue hatua stahiki.
    Huyu wife wa jamaa atakuwa amewaua wazazi wake sasa.

    ReplyDelete
  8. Hahahahaha Duh there is a lesson to learn from that incidence!!

    ReplyDelete
  9. hana makosa. Miscommuinication.

    ReplyDelete
  10. In law the wife may have a defence of mistake of facts...hehe!!!

    ReplyDelete
  11. Hilarious, though that only happens in America as we don't share beds with our parents nor keep baseball bats in our homes in Tanzania......

    ReplyDelete
  12. Hahahaaaa....hii kali, halafu inakufanya ujiulize kabla ya kusoma mwisho.

    Mimi mwanzo nilidhani Mama mwenye nyumba atakuwa amemaliza familia yake yote!! Nilijua watoto wameota ndoto ya kutisha kwa hiyo wameenda kulala na baba yao, ingekuwa balaa zaidi.

    Ama kweli kuchukua uamuzi haraka haraka matunda yake siku zote huwa maumivu!!

    ReplyDelete
  13. kamaliza wazazi wake kisa wivu...teeh teh mbavu zangu hilo nalo somo maana wamama wamezidi ......

    ReplyDelete
  14. Hapo tayari inaonyesha matatizo ya mawasiliano kwenye hiyo ndoa. Hivyo si kosa la mwanamke.. huwezi kuingiza watu chumbani kwako na mkeo bila ya kukubaliana na mkeo. Hiyo ndoa ilikuwa na hitilafu ya communications tayari...

    ReplyDelete
  15. Very correct, this must be in the US, to let your in laws into your bedroom? It will never happen in yTanzania.

    Martin Osujaki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...