Wife comes home late at night and quietly opens the door to her Bedroom.
From under the blanket she sees four legs instead of two.
She reaches for a Baseball Bat and starts hitting the blanket as hard as she can.
Once she's done, · ·with a sense of pride and satisfaction she goes to the kitchen to have a drink,
· ·As she enters, she sees her husband there, reading a magazine. · ·
" Hi darling" he says....
" Your parents have come to visit us, so I let them stay in our bedroom. Hope u have said Hello.
He hee hee!!!...Push it to the Limit
ReplyDeleteDavid V
Haluu... wenye kujua mila tuhabarisheni. Wazee wazamani walikataa mtu kumlaza mama mkwe wake chumbani kwake (Anapolana na mke wake) maana mambo kama hayo yanaweza kutokea. Japo wengine wanasema dunia ye leo lakini matokeo yake mambo kama haya yanaweza kutokea...hapa tunaona utani lakini kwa kweli si utani kama hashima ya mama mkwe imevunjwa...
ReplyDeleteWhaaaaat? a wife yelling.
ReplyDeleteHusband asked"hey what is the matter with you?"
Na kwa nini wakwe walale chumbani kwa watoto wao, ndio maana wanakula kipondo!
ReplyDeleteHiyo ni ndoa ya vichaa! utakaribishaje mtu mwingine kwenye chumba chenu cha kulala hata kama ni wazazi! Huyu mwanamme hana akili sawa
ReplyDeleteKudadadeki
ReplyDeletekweli kabisa, ni vyema kuchunguza kwanza ndipo uchukue hatua stahiki.
ReplyDeleteHuyu wife wa jamaa atakuwa amewaua wazazi wake sasa.
Hahahahaha Duh there is a lesson to learn from that incidence!!
ReplyDeletehana makosa. Miscommuinication.
ReplyDeleteIn law the wife may have a defence of mistake of facts...hehe!!!
ReplyDeleteHilarious, though that only happens in America as we don't share beds with our parents nor keep baseball bats in our homes in Tanzania......
ReplyDeleteHahahaaaa....hii kali, halafu inakufanya ujiulize kabla ya kusoma mwisho.
ReplyDeleteMimi mwanzo nilidhani Mama mwenye nyumba atakuwa amemaliza familia yake yote!! Nilijua watoto wameota ndoto ya kutisha kwa hiyo wameenda kulala na baba yao, ingekuwa balaa zaidi.
Ama kweli kuchukua uamuzi haraka haraka matunda yake siku zote huwa maumivu!!
kamaliza wazazi wake kisa wivu...teeh teh mbavu zangu hilo nalo somo maana wamama wamezidi ......
ReplyDeleteHapo tayari inaonyesha matatizo ya mawasiliano kwenye hiyo ndoa. Hivyo si kosa la mwanamke.. huwezi kuingiza watu chumbani kwako na mkeo bila ya kukubaliana na mkeo. Hiyo ndoa ilikuwa na hitilafu ya communications tayari...
ReplyDeleteVery correct, this must be in the US, to let your in laws into your bedroom? It will never happen in yTanzania.
ReplyDeleteMartin Osujaki