Home
Unlabelled
uzalendo wa bongo unakoelekea....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahaaa. Ankal inakuuma eh? Ndio upinzani wa jadi huo. Full shangwe hapo.Huwa wanasema malipizo ni hapa hapa duniani. Simba ilipocheza na TP Mazembe yeboyebo nao walifanya hivyo hivyo.
ReplyDeleteHuu utani wa jadi na ndo utamu wake.Uzalendo ni kwenye timu ya taifa tu na si kushangilia club eti kwa kuwa ni ya Tanzania wapi bwana.Ndo maana watu wako TZ lakini timu zao ziko Ulaya,Man U,Liverpool,Arsenal.
ReplyDeleteHivyo usishangae unayoyaona uwanjani hii ni kawaida kokote duniani katika soka nenda wapi.
Timu ya Taifa aaaaah,wote tutaishangilia,lakini si Yanga eti kwa kuwa inacheza na timu ya nje.
Halafu mnasema eti bongo maisha magumu, mashabiki wa Simba wanalipa pesa kwenda kushangilia Zamalek ya Misri.
ReplyDeleteSijawaona watu vichwa vibovu kama wabongo
ReplyDeletekwa kweli bongo tumejaaliwa wapenzi na washabiki wapo tena wanajuwa haswa ushabiki wanapendeza na kuchangamsha uwanja
ReplyDeletelakini bahati mbaya mpira ndio hatuna yani tungejaaliwa kuwa na mpira mzuri tukafika africa cup na badae world cup nasema washangiliaji tunao na tena wanajituma haswa.
mungu ibariki nchi yangu tanzania.
Mimi nilidhani wanashangilia timu yao kushinda Rwanda, kumbe wanashangilia Zamkalek kwa malipo ya bendera ambazo bila shaka watazitumia kama mapazia baada ya mechi!
ReplyDeletedah! aibu tu, unafkiri hao jamaa wanawaona wamana? wanawacheka tu hapo! subirini mwende kwao mkacheze na wapinzani wao muone km watawashangilia nyie au nani. tatizo akili zetu hazina akili!
ReplyDeleteSimba + Yanga = Full uchawi no vipaji. Yaani hizi timu zinaroga mpaka mashabiki kiasi kwamba mashabiki wanakuwa hawaoni uozo wao. Jamani karne ya 21 hii hamzisusi tu hizi timu za nguvu za Giza?
ReplyDeleteUnavyoona katika mechi na vyama vya siasa ndio hivyo hivyo. Kila siku huwa nasema. Wingi wa watu katika mikutano ya siasa sio wingi wa kura. Yanga wengine wakipewa pesa wanashangilia upinzani. Kitu pesa bwana. Msione CCM wanashangalia na kucheza katika mdundiko wa CHADEMA, siku ya kura mambo mengine kabisa, watu huwa wananusa fedha, kama ipo unachukua, siri yako halafu CHADEMA wanasema wameibiwa kura, ndio siasa za Bongo. YANGA imetokana na chama cha siasa, waanzilishi wote walikuwa wana-TANU.
ReplyDeleteSimba vichaa tu. Kama daktari anagoma kuhudumia mgonjwa kwa kudai visenti mpaka anashuhudia mgonjwa anakufa unategemea nini, huo ndio uzalendo wa kizazi cha wabongo wa siku hizi.
ReplyDelete