Home
Unlabelled
Iga Ufe....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli maana kuendesha pikipiki na ndala mguuni ni kujitafutia balaa tu
ReplyDeleteNimeondoka bongo miaka 15 iliyopita sijarudi mpaka leo sasa sina uhakika kama nikirudi nitaweza kuendesha gari kwenye hizo barabara maana sasahivi nasikia ni kama india barabara inapita magari makubwa ya mizigo magari madogo bajaji pikipiki baskeli wasukuma mikokoteni
ReplyDeleteukirudi njia za mitaani ndio usiseme maana magari ya mizigo magari madogo bajaji pikipiki wasukuma mikokoteni watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara yani wote hao niliowataja wanatumia hizo njia sasa kweli ajali ikitokea nani atashikwa kwenye makosa?
mchangiaji wapili hapo juu, iyo kukaa kwako nje miaka 15 unaiyona mingi ....wacha ushamba wako wewe watu wana miaka 40 hapo ulaya wala hawakuomba ukimbizi na wakija hapa bongo wanaona kitu cha kawaida tu wewe unalinganisha bongo na INDIA mshamba mkubwa wewe ...ngoja kuche ukabebeshe box huko iliko
ReplyDeleteLiverpool IGA Arsenal upigwe 2-1..!
ReplyDeleteWewe Mtoa maoni wa tatu iliyekaa miaka 15 nje ya Bongo!
ReplyDeleteWacha barabara, ukirudi utakuwa kama Mfungwa anaetokea Gerezani baada ya Kifungo kirefu,,,labda ukalime Kijijini maana utakuta mipango ya maisha imebadilika sana sio kama vile Kitambo!
Hivyo hii ''IGA UFE'' imekulenga wewe, ni kuwa usifikiri unaweza kurudi kirahisi kwa kuwaiga wenzio wanaorudi Bongo waliojiandaa na Mipango ya maisha Bongo !