Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kweli maana kuendesha pikipiki na ndala mguuni ni kujitafutia balaa tu

    ReplyDelete
  2. Nimeondoka bongo miaka 15 iliyopita sijarudi mpaka leo sasa sina uhakika kama nikirudi nitaweza kuendesha gari kwenye hizo barabara maana sasahivi nasikia ni kama india barabara inapita magari makubwa ya mizigo magari madogo bajaji pikipiki baskeli wasukuma mikokoteni

    ukirudi njia za mitaani ndio usiseme maana magari ya mizigo magari madogo bajaji pikipiki wasukuma mikokoteni watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara yani wote hao niliowataja wanatumia hizo njia sasa kweli ajali ikitokea nani atashikwa kwenye makosa?

    ReplyDelete
  3. mchangiaji wapili hapo juu, iyo kukaa kwako nje miaka 15 unaiyona mingi ....wacha ushamba wako wewe watu wana miaka 40 hapo ulaya wala hawakuomba ukimbizi na wakija hapa bongo wanaona kitu cha kawaida tu wewe unalinganisha bongo na INDIA mshamba mkubwa wewe ...ngoja kuche ukabebeshe box huko iliko

    ReplyDelete
  4. Liverpool IGA Arsenal upigwe 2-1..!

    ReplyDelete
  5. Wewe Mtoa maoni wa tatu iliyekaa miaka 15 nje ya Bongo!

    Wacha barabara, ukirudi utakuwa kama Mfungwa anaetokea Gerezani baada ya Kifungo kirefu,,,labda ukalime Kijijini maana utakuta mipango ya maisha imebadilika sana sio kama vile Kitambo!

    Hivyo hii ''IGA UFE'' imekulenga wewe, ni kuwa usifikiri unaweza kurudi kirahisi kwa kuwaiga wenzio wanaorudi Bongo waliojiandaa na Mipango ya maisha Bongo !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...