SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
WAZEE WA KAZI 
SUPPORTING KILIMO KWANZA !
HEAVY DUTY DISC PLOUGHS FOR SALE
3 X DISCS PLOUGH £1,300  £1,500
4 X DISCS PLOUGH £1,450 
5 X DISCS PLOUGH £1,700
KAMA UNATAKA KUNUNUA HAYA  MAJEMBE TUNAWEZA KUKULETEA MPAKA NYUMBANI KWAKO DAR KWA EXTRA £200 HAKUNA USHURU KWENYE KILIMO
NEXT VESSEL FROM TILBURY SAILS ON 23/03/2012 CUT OFF 16/03/2012
NEXT VESSEL FROM SHEERNESS SAILS ON 20/03/2012 CUT OFF 16/03/2012
NEXT VESSEL FROM IMMINGHAM SAILS ON 17/03/2012 CUT OFF 16/03/2012
SALOON CARS TO DAR/ MBS FROM £700
4X4 CARS TO DAR/MBS FROM £780
kama unataka kuagiza kitu au kufanya booking yoyote tutumie email au tupigie kwenye namba zifuatazo;

CHRIS LUKOSI +44 07903828119  & 07404279633 
SIMON LOUIS (MOHSIN) +44 07950689243
HASSAN (RICHARD) +44 07405159255
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell (+44) 01375 855917  Fax (+44) 01708202477


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Natafuta tractor massey ferguson 265 iwe na shipping costs to Morogoro Tanzania. Napatikana facebook kwa mtanzania2011@yahoo.com
    NIJULISHE COST NA UPATIKANAJI

    ReplyDelete
  2. Hapa wazee wa kazi nimewafagilia maana umejaribu kuangalia kuleta vitu ambavyo vinamuinua kiuchumi mtanzania-big up

    Mdau

    Jodoki Kalimilo

    Mwanza

    ReplyDelete
  3. hiyo comment ya pili mmejiadnikia wenyewe wazee wa kazi .. GOT U

    ReplyDelete
  4. AHSANTENI SANA!

    Wazee wa Kazi, sasa mnastahili kuwa mabalozi wetu kwa vile muelekeo wenu ni wa tija kwa Wananchi wa Tanzania kwa Ujumla kwa kuangalia zaidi Kilimo ambacho licha ya mabadiliko ya hali ya hewa na changamoto ya bei na masoko ya Didhaa bado kinaajiri zaidi ya 75% ya Wananchi.

    Imetosha sas Watanzania huko majuu kubeba mabox halafu pesa wanayoipata kwa tabu wananunua magari ya kifahari na kuyatuma Tanzania badala ya Rasilimali za Uzalishaji inayoongeza uwezo wa kuzalisha mali kama Matrekta na Mitambo na kukuza ajira huku Mapato yakiongezeka na Umasikini kutokomea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...