Home
Unlabelled
SIOI SUMARI ATEULIWA RASMI NA CCM KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Kijana.Lakini nyie viongozi wetu.Kwa nini msifikirie Mbunge akishwinda kuendelea na majukumu yake ama kwa kifo,au kuugua,n.k badala ya kuingia gharama nyingine za uchaguzi yule aliyeshika nafasi ya pili katika uchaguzi uliopita achukue hiyo nafasi moja kwa moja na hilo fungu la uchaguzi liende kwenye shughuli za maendeleo katika jimbo hilo au Rais ateu mbunge wa kutoka wabunge wa viti maalum(wako wengi sana)?Serikali ibane matumizi jamani.Nawasilisha.
ReplyDeleteDavid V
ccm hata wakisimamisha jiwe kugombea basi kaa ukijuwa ushindi upo tu
ReplyDeleteMDAU MBANA MATUMIZI Dr. David V, TATIZO NI KWAMBA WATU WATAANZA KUUWANA ILI KUCHUKUA NAFASI YA MAREHEMU BAADA YA MAZISHI.KURUDIA TENA UCHAGUZI KUNAIMARISHA DEMOKRASIA NA KUNATUNZA UHAI WA MTANZANIA. MSHIDI WA PILI ANATAKIWA KUNADI SERA UPYA BADALA YA KUFIKIRA KUKATISHA MAISHA YA WATU, JAPO SIO WOTE WAPO HIVYO. ILA UTAMADUNI MPYA UNAWEZA KUZALIWA.KUMBUKA SIASA IS THE DIRTY GAME.
ReplyDeleteMZEE WA BUSARA
Asante mzee wa Busara nimekuelewa.Kweli utamaduni mpya unaweza kuzaliwa na hasa Tanzania,kumbe bora tuendelee kufanya chaguzi mpya,tusiombee wabunge wetu washindwe kuendelea na majukumu yao.Nilikuwa sijaliona hilo.Asante mkuu.
ReplyDeleteDavid V
Hivi hawa watoto wa vigogo hawajosoma nini, mbona wanang'ang'ania tu kututawala kama baba zao? Watoto wetu sisi hawata pata fursa ya kuwa viongozi nchi hii, angalia Vita Kawawa, Januari Makamba, Nape Nyahue, Adam Malima,Hussein Mwinyi,n.k
ReplyDeleteAngalau tungepata mtoto mmoja wa Nyerere mwenye akili kama ya baba yake.
nivizuri kuona vijana wanagombea uongozi likini nina wasiwasi kama hawa jamaa wanauzoefu(work experiances) kwenye private sectors au government kwa muda ili waende bungeni na kufanya mabadiliko ya kweli sio kupokea posho tu
ReplyDeleteTatizo kigezo cha kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika ndhani tungeenda zaidi na AWE NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI KTK SECTA BINAFSI AU SEKTA ZA SERIKALI kama hana sifa basi AWE ANGALAU AMEFANYA BIASHARA AMBAYO IMECHANGIA KTK KUKUZA UCHUMI, vinginevyo tutakuwa tunaongeza wabunge ambao wengine kuchangia issue mbalimbali itakuwa kazi kwa kuwa hawana uzoefu wa chochote kati ya hivyo nilivyovitaja, uongozi unaanza kwanza sehemu tunazofanyia kazi kisha tunapanda juu, sio mtu anakuja anatupa story za aliwahi kuwa Head boy au Mwenyekiti wa darasa Form IVA
ReplyDeleteWachangiaji mliotangulia mmenifurahisha, mnatoa mawazo yanayoelimisha na kujenga, binafsi mie mengi nilikuwa sijayaangalia kwa upana huo. Asanteni
ReplyDeletePatachimbika huko alumeru.
ReplyDelete..........kambi yetu inazidi kuimarika
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete