Familia ya Bwana Gabriel Mponzi wa Oysterbay,Jijini Dar-es-salaam.Wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mtoto wao Jane Mponzi “Mama Melanie” pichani kilichotokea siku ya jumapili tarehe 4/3/2012 katika Hospitali ya Agha Khan Dar-es-salaam.
Ibada ya kumuaga marehemu itafanyika Jumanne tarehe 6/3/2012 nyumbani kwa marehemu Oysterbay, Dar-es-salaam kuanzia saa 6 mchana na marehemu atazikwa Ipamba-Tosamaganga, Iringa siku ya Jumatano tarehe 7/3/ 2012.
Kwa maelezo zaidi kuhusu ratiba ya mazishi, wasiliana na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Dr. Ponziano Mponzi kupitia namba 0767 600 604.
Ndugu, jamaa na marafiki waliopo mbali, wanaweza kutuma michango yao ya kufanikisha safari ya mwisho ya kwenda kumlaza mpendwa wetu mkoani Iringa kupitia:
M-PESA- 0756 -999-900
TIGO PESA- 0713 -123- 617
AIRTEL MONEY- 0784- 615-566
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina la Bwana lihimidiwe.
Amina.


RIP Jane Mponzi. Poleni familia ya Mponzi, Mungu awape imani na nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe. Amina
ReplyDeleteBwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidie Tulikupenda sana Mpedwa wetu Jane ila Mungu anakupenda zaidi
ReplyDeleteR I P Jane kipenzi cha wengi
ReplyDeleteRest in peace love,Jane utakumbukwa sana
ReplyDeletemungu akujali mapumziko ya amani Jane! nakumbuka tulivyokuwa wadogo jamani heeeee! lakini ndio hivyo kila nafsi itaonja mauti!
ReplyDeletePoleni wafiwa may she RIP
ReplyDeleteKWANINI hamumuziki next kwa marehemu mumewe? najua mumewe Herry Makange alifariki 32 days baada ya ndoa yao na kuzikwa Kibaha.
nimesikia huruma kwa nini hamumuziki pamoja na mumewe, labda nae angefurahia as mumewe alifariki end 2008.
nauliza tu, maana pia ni karibu na Dar. Poleni
Poleni sana familia ya Mponzi,ndugu,jamaa na marafiki.
ReplyDeleteRIP "Mama Mela"
David V
RIP dear jane,smile and keep on smiling.for yourlife was with a smile.your in him that grants me and strength and everlasting life
ReplyDeletebaba s
Poleni sana familia ya Mponzi,Mzee Mponzi,Grace,Benny,Mellanie na wengine wote,mungu awape nguvu,subira na imani katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.This world is not our home we are just passing through.
ReplyDeleteRest in peace love "mama" Mellanie
Abbu Omar,Tokyo,Japan.
RIP Jane, kipindi kifupi tulichosoma wote pale Jitegemee JKT nilipata bahati ya kipekee kukufahamu kama mtu wa watu. Ucheshi, upendo na ukarimu wako kwa kila mtu ilikuwa ni sifa kuu uliyonayo. Umetangulia nasi tupo njiani. RIP Jane.
ReplyDeletetulikupenda lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi. Pole nyingi kwa familia.
ReplyDeletePumziko la milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani. AMINA.
jamani so cute RIP japo sikufahamu, mtuambiege basi kilimsibu nini mpendwa wetu
ReplyDeleteR.I.P Jane poleni familia ya Mponzi mwenyezi mungu awape nafuu ya machungu, uvumilivu na faraja wakati huu mgumu.
ReplyDeleteKazi ya Mungu, Haina makosa. RIP mama Melanie. Raha ya Milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani, AMEN.
ReplyDeleteJane alikuwa jirani yetu kule Oysterbay, Msasani road. Pole sana Grace na familia yenu yote. Rest In Peace Jane.
ReplyDeleteNimesikitika kwakua marehemu Kheri makange nilimfahamu jamani inauma sana hasa mtoto wao kubaki yatima. naomba anayejua atujuze nini kimemuu.
ReplyDeleteRIP Jane, you will be missed for your good heart.
ReplyDeleteMy schoolmate at Oysterbay Primary, may you rest in peace.
ReplyDeleteit was a sudden death caused by heart attack
ReplyDeletePumzika kwa amani Jane, family yenu naijua vizuri, umelala karibu na mama yako jamani!!!
ReplyDelete