Mdau akiandaa ulezi kwa ajili ya matumizi ya wikiendi hii eneo la Kwa Sadala, nje kidogo ya mji wa Moshi. Ulezi hulimwa kwa wingi maeneo haya na hutumika kwa wingi katika mkoa wa Kilimanjaro hasa kwa kutengenezea kilaji maarufu cha Mbege
 Mdau kazini
 hapa vipi
kazi ikiendelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mdau ulevi ni Maili Sita sio Kwa Sadala

    ReplyDelete
  2. Mkuu ulezi haulimwi Kilimanjaro. Hii ni bidhaa toka Kondoa! Huku hutayarishwa tu na kutumika kwa kile kinywaji cha asili ama chakula kwa wamama wazazi.
    EM

    ReplyDelete
  3. Aliyesema ulezi haulimwi Kilimajaro kakosea 100%. Nenda vijijini ukaone ulezi.

    ReplyDelete
  4. Ndugu nimekuwa nikifuatilia sana hapa KUNA MBEYA BLOG, IRINGA BLOG nakadhalika kwanini hatina blog ya MOSHI jamani? tunaitamani sana. I know you, good job

    ReplyDelete
  5. Hii ni kilimanjaro tena maili sita..ila ankal na wewe bana tangu mjomba aende huko KLM naona unatupia habari nyingi za huko hahahha

    ReplyDelete
  6. unalimwa sana maeneo ya Kimashuku na pande za chini kwa sadala huko, halafu maeneo ya mail sita na huko kwa sadala huuzwa kwa ajili ya either uji au mbege. tusikariri jamani

    ReplyDelete
  7. hapo ni kuanzia kibosho road, mailisi sita

    ReplyDelete
  8. Hakuna ulezi Kilimanjaro usiongope

    ReplyDelete
  9. Maili sita hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...