Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi hiyo jana,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Unguja leo.
Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dr.Valentino Mokiwa,(aliyesimama) akimuweka Wakfu Padre Michael Henry Hafidh,(aliyelala) kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar Kanisa Kuu la Mkunazini, Mjini Unguja leo.
Askofu Mkuu wa Kanisaa la Anglican Tanzania Dr.Valentino Mokiwa,(kulia)akimtambulisha kwa waumini Askofu wa Kumi wa Dayosisi ya Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kumalizika ibada maalum ya kumuweka Wakfu,katika Kanisa Kuu la Mkunazini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi hiyo jana,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Unguja leo.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dr.Valentino Mokiwa,(mbele) akiongoza maaskofu katika sherehe za kumuweka Wakfu Padre Michael Henry Hafidh,kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa,Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dr.Valentino Mokiwa (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya ibada ya kumuweka kuwa Wakfu Padre Michael Henry Hafidh,(wa tatu kushoto) kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar katika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Zanzibar leo,(wa pili kushoto) Mke wa Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar Merry Michael .
Picha na Ramadhan Othman - Ikulu.
Picha na Ramadhan Othman - Ikulu.
Wajameni, tumshukuru mwalimu kwa kupiga vita udini na ukabila, na kwa JK kwa kujitahidi kuliendeleza swala hili nyeti.
ReplyDeleteUtajua tu aliyeleta hii habari ni muislamu. Kanisa kuu tu haitoshi... inaonekana kama huyu ni askofu wa makanisa yote. Sema dhehebu gani..... siyo makanisa yote yako chini ya Dr. Mokiwa.
ReplyDeleteIsipokuwa tuwe makini na Watumishi wa Kidini wanaotaka waitwe MANABII na MITUME !
ReplyDeleteRaisi za Zanzibar ajitahidi kukomesha udini unaoanza kujitokeza Zanzibar,kuchoma vibanda ,makanisa,nchi yetu haina dini bali watu wana dini
ReplyDeleteMwalim hajapiga vita udini ila pale wakristo wasipokuwa wana nufaika. Waislam tunajua mambo haya kuwa mazuri kwetu na hiyo yote ni sababu za mwalimu.
ReplyDelete