Laxim Darts Club ya Tukuyu (Wanyambala) wanawashukuru wale wote ambao wamechangia kwa hali na mali katika kupatikana kwa Jezi bin Uzi mpya wa Club kwa wachezaji wote wa darts. Wanachama na wachezaji wanawashukuru sana sana kwa michango yao na Mungu awaongezee zaidi ili waweze kutusaidia tea na tena, na wale ambao hawakupata nafasi wakati huu nao tunawaombea wapate na watusaidie. Ni juhudi zako Anko Michuzi kupitia blog hii ya jamii ulipotutoa mwaka jana mwishoni kuwa Laxim Darts Club wanaomba misaada ndipo wafadhili mbali mbali wamejitokeza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sasa hii klabu ipo Tokyo Tanzania......au Tukuyu Japan. Au huko Tukuyu kuna Tokyo........hebu tuwekane wazi kipengele hiki

    ReplyDelete
  2. hahaaa.. Tokyo ndo Tukuyu!!!.. duh!?

    ReplyDelete
  3. Mdau kwa kukusaidia tu Tukuyu ndio Tokyo ya bongo kama ilivyo Segerea(Dar ) ambayo ni senegal, Bagamoyo= Baltimore, Kisarawe= Kingstone, Ukonga=UK ,Chanika=Charlote city, Loliondo=London, Arumeru=Armenia, list inaendelea mdau kaa mkao wa kula Lol.

    ReplyDelete
  4. Yeah Banyamabala nawaona, chapa kazi. Dah nimemiss Laxmi Bar ngoja nije. Kocha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...