Endapo hukupata nafasi ya kutizama kipindi cha Mkasi wiki iliyopita, usijali sana(ila next time wahi mapema) hii hapa ni fursa yako kutizama jinsi Mzee wa Farasi(Ali Choki) alivyoteta na Salama Jabir ndani ya Mkasi Tv.
Halafu maswali mengi yanakuja kwamba Mkasi inafanyiwa wapi?Ni Salon Gani?Jibu ni kwamba Mkasi huandaliwa pale Amaya Beauty Salon & Spa iliyopo jijini Dar-es-salaam ndani ya kampaundi ya Air Tanzania Corporation(ATC).
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufika Amaya unaweza kupata contacts zao kupitia tovuti yao ambayo unaweza kuitembelea kwa kubonyeza hapa. Unaweza pia kuwafuata Amaya kupitia Twitter kwa jina @AmayaBeautySpa
jamani pombe sio nzuri kabisa, mwangalieni Choki Umri wake na muonekano wake kama anamiaka 30 vilee!la najua yuko over 40 na siri ya kuwa na muonekano mzuri nikuwa jamaa sio MLEVI yaani anajitunza na kujijali sana,Namie ngoja niache vilevi vinazeesha haraka sana.
ReplyDelete