Wachezaji wa Simba wakiwa wamembeba Kocha wao, Milovan Cirkovic, baada ya kuifunga Moro United 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Kwa ushindi huu Simba imejitangazia ubingwa. Kinachosubiriwa ni mchezo wao wa kufunga ligi na Yanga.(Picha zote na Francis Dande).
Simba wakifurahia ushindi
Mashabiki wakiruka kidedea
Kiduku kilitawala ushindi huo ambapo Wekundu hawa wa Msimbazi wamejitangazia ubingwa huku wakisubiri mchezo wao wa mwisho wa ligi mna Yanga
Misupu si utuwekee kiduku wa kideo-picha wala hazlipi.Inamaana haujawarekodi?...KAZI HUNA.
ReplyDeleteSimba oyee
ReplyDeleteMnyama Mnyama kauwa Simbaaaaaaa
ReplyDeleteUbingwa bado, mapesa ya azam yanauchelewesha. Jana mechi ya Azam na Mtibwa ilivunjika baada ya Mtibwa kugomea penalty dk 87 kwa madai kwamba referee alikuwa akiipendelea Azam na haikuwa penalty, hadi wakati huo matokeo yalikuwa 1 - 1 na referee tayari alikwisha mtoa mchezaji wa mtibwa kwa red card kwa hiyo Azam watapewa ushindi kwa mujibu wa kanuni!!!
ReplyDeleteNgojeni 'MABAO KUTOKA JANGWANI' huku na Jindoo lenu likiwa bado Kabatini!
ReplyDelete