Wachezaji wa Simba wakiwa wamembeba Kocha wao, Milovan Cirkovic, baada ya kuifunga Moro United 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar  es salaam. Kwa ushindi huu Simba imejitangazia ubingwa. Kinachosubiriwa ni mchezo wao wa kufunga ligi na Yanga.(Picha zote na Francis Dande).
 Simba wakifurahia ushindi

 Mashabiki wakiruka kidedea
Kiduku kilitawala ushindi huo ambapo Wekundu hawa wa Msimbazi wamejitangazia ubingwa huku wakisubiri mchezo wao wa mwisho wa ligi mna Yanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Misupu si utuwekee kiduku wa kideo-picha wala hazlipi.Inamaana haujawarekodi?...KAZI HUNA.

    ReplyDelete
  2. Mnyama Mnyama kauwa Simbaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Ubingwa bado, mapesa ya azam yanauchelewesha. Jana mechi ya Azam na Mtibwa ilivunjika baada ya Mtibwa kugomea penalty dk 87 kwa madai kwamba referee alikuwa akiipendelea Azam na haikuwa penalty, hadi wakati huo matokeo yalikuwa 1 - 1 na referee tayari alikwisha mtoa mchezaji wa mtibwa kwa red card kwa hiyo Azam watapewa ushindi kwa mujibu wa kanuni!!!

    ReplyDelete
  4. Ngojeni 'MABAO KUTOKA JANGWANI' huku na Jindoo lenu likiwa bado Kabatini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...