Bwana harusi William na mkewake Agnes wakiwa katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la mtakatifu Dominiki lililopo mbezi beach jijini Dar es Salaam.
Bibi harusi Agnes Martin akiwa amebebwa katika ufukwe wa bahari ya hindi jijini Dar es Salaam, baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la mtakatifu Dominiki Mbezi Beach.
Bibi harusi Agnes Martin akiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa na William Anthony.
Maharusi wakiwa katika picha  ya pamoja naa ndugu na jamaa baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la mtakatifu Dominiki lililopo mbezi beach jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hongereni sana na furaha hiyo mliyonayo idumu kwenye ndoa yenu. Bi harusi mlinde kijana huyo magumegume ya jiji yanataka haoo waliooa

    ReplyDelete
  2. Beautiful!! Harusi nzuri sana, very simple. Hongereni maharusi!!

    ReplyDelete
  3. Hongereni maharusi.Picha nzuri lakini hawa jamaa wawili wa kulia wameharibu hii picha. Kama vile walilazimishwa kupiga picha.

    ReplyDelete
  4. thx anon wa Fri Apr 20, 05:14:00 AM 2012, hata mimi naona hao jamaa wawili kulia sijui ndg sijui wapita njia wapo kama vile hawahusiki na harusi..

    ReplyDelete
  5. its simple wedding hongereni sana cha msingi sasa ni kuishi vizuri kwani harusi mzuri ni ile inayokaa miaka mingi kama za wazazi wetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...