Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Maalim Seif Hamadi ambaye pia ni Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ,akisalimiana na hasimu wake ambaye ni Mbunge wa jimbo la wa Wawi,Mh. Hamad Rashid walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni, wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa kamati ya kuratibu maoni ya Katiba.
Home
Unlabelled
SISI NI NDUGU MOJA: Maalim Seif na Mh. Hamad Rashid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JAMANI MPENDANE MAISHA NI MAFUPI SANA. UGOMVI HAUNA TIJA WAHESHIMIWA!
ReplyDeleteHakuna urafiki hapo!
ReplyDeleteWanasiasa kweli noma....watu walikatana mapnga manzese kumbe jamaa washkaji. Siku nyingine tuwaweke wenyewe mbele ya mapambano, tuone kama wataendelea kutuchezea akili
ReplyDeletekinacho endelea hapa ni unafiki tu
ReplyDeleteHuyu Bwana wa WAWI ni mtu wa Tamaa mno hata bungeni alipokuwa Mkuu wa kambi ya upinzani na ilipokuja kuangukia CHADEMA bado alitaka yeye aendelee kuwa na nafasi hiyo na alikihujumu sana CHADEMA!
ReplyDeleteMACHO YANACHEKA huku MOYO UNALIA !
ReplyDeleteHakuna nini wala nini hapa, kuna jipya?
ReplyDeleteHizi ndio zile za KILLING SOFTLY!
Siasa zetu mara zote zinakwama kwa watu kuwa na VINYONGO NA MAFUNDO YA MOYO !
ReplyDeleteWATU KTK JAMII ZILIZOPIGA HATUA WANAITUMIA SIASA KWA KUWEKANA KTK UONGOZI LAKINI BAADA YA KUINGIA CHAMA PEMBENI,MASLAHI YA TAIFA KWANZA!
Ankal, mi sioni kama wanasalimiana bila unafiki, kwani huoni jinsi walivyonuniana? Mnasalimana hata tabasam usoni hakuna? Maalim nawe Hamad, kuweni waungwana mmalize tofauti zenu. Maendeleo hayaletwi na chuki.
ReplyDeletesasa wewe Anonymous hapo mada ni hamad na seif CHADEMA inaingiaje.ujinga unakufanya unashindwa kuelewa hata picha zimekaa vp.
ReplyDeleteHAKUNA LOLOTE HAPO!!!
ReplyDeleteNi kiasi cha kuwadanganya Wananchi au kutoa lawama kuwa hawana tofauti, wakati picha na sura zinawasuta kuwa 'hawako vizuri' kabisa !
MWENYEZI MUNGU AMEUMBA HISIA NA MAUMBILE YA MTU KWA KILICHO ROHONI MWAKE HATA AFICHE VIPI KITAJIDHIHIRISHA KTK USO WAKE!
HIZI NDIO SIASA ZA KIBONGO! NA PIA HII NDIO AINA YA VIONGOZI TULIOKUWA NAO NCHINI !
KWA MTAJI HUU 'KAVU' KWELI TUTAFIKA?