Mwanadiaspora Iddi Sandaly akielezea historia yake kwa ufupi, na kwa nini amejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais wa Jumuiya DMV, usipolipa Tax ni madhala gani yanaweza kukukuta na kitu gani anachokerwa TRA - BOFYA MSHALE JUU UMSIKILIZE
Home
Unlabelled
MWADIASPORA IDDI SANDALY ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Dollar 6.5 kwa saa ni mshahara mdogo sana!
ReplyDeleteDuh, Iddi Sandaali kumbe ni bonge la Warsha. Asante sana kwa kuwasilisha Masjid Qubah Sec. mzee.
ReplyDeleteAsante sana iddi Sandaly, maelezo yako ni mazuri sana na unazo sifa zote za kutuongoza. Kwavile wanahabari ni fare and balance, tunakuomba Ankal tupate pia nafasi ya kumsiliza bi Loveness Mamuya kabla ya uchaguzi Jumapili. Tunaomba pia wagombea hawa watueleze ni pesa kiasi gani za viwanja zilizotapeliwa na uongozi wa Yasini na Malinda na kama upo uwezekano tukarudishiwa pesa zetu. Kutushawishi kupiga kura wakati tumeshaumizwa hakutoshi. Pia tunaomba viongozi watarajiwa watueleze ni kwa nini matapeli hawa hawajachukuliwa hatua za kisheria?
ReplyDeleteIlilkuwa zamaini karibu miaka 10 hivi imepita, alafu lazima mtua anzie mahali fulani. Lakini sasa hivi labda anatengeneza peza nzuri sababu yeye amejitahidi sana.
ReplyDeleteTatizo la DC ni kuwa wamepita viongozi wasio waaminifu. Watu tumeumizwa sana. Hizo pesa tulizoibiwa za viwanja ni bora hata tungewatumia ndugu zetu waathirika wa mafuriko ya pale jangwani. Watu wamekuwa siyo waaminifu tena. Tuliwasamehe kuwafungulia mashtaka kwavile ni watanzania wenzetu. Iddi kura yangu umepata lakini tumaomba utuhakikishie wewe na timu yako mtachukua hatua zipi kusafisha jumuiya yetu inayonuka utapeli?
ReplyDeleteIddi upo Powa kaka. We ni kiongozi.
ReplyDelete