Endapo hukupata nafasi ya kutizama kipindi cha Mkasi wiki iliyopita, usijali sana(ila next time wahi mapema) hii hapa ni fursa yako kutizama jinsi Mzee wa Farasi(Ali Choki) alivyoteta na Salama Jabir ndani ya Mkasi Tv. 
Halafu maswali mengi yanakuja kwamba Mkasi inafanyiwa wapi?Ni Salon Gani?Jibu ni kwamba Mkasi huandaliwa pale Amaya Beauty Salon & Spa iliyopo jijini Dar-es-salaam ndani ya kampaundi ya Air Tanzania Corporation(ATC). 


Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufika Amaya unaweza kupata contacts zao kupitia tovuti yao ambayo unaweza kuitembelea kwa kubonyeza hapa. Unaweza pia kuwafuata Amaya kupitia Twitter kwa jina @AmayaBeautySpa





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani pombe sio nzuri kabisa, mwangalieni Choki Umri wake na muonekano wake kama anamiaka 30 vilee!la najua yuko over 40 na siri ya kuwa na muonekano mzuri nikuwa jamaa sio MLEVI yaani anajitunza na kujijali sana,Namie ngoja niache vilevi vinazeesha haraka sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...