Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo),katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha Ramadhan Othman,IKULU ZANZIBAR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2012

    sikujua Mhe Shein ni muwajibikaji wa kina kiasi hiki. Anatufaa sana tunataka watu wenye kufatilia mambo kwa karibu namna hii.
    Bravo Sir!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...