Home
Unlabelled
hata vijijini huduma hii inapatikana kwa kulipia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi hawa hawakumwelewa Nyerere, kwamba tujenge nyumba zetu kwa matofari, na tukwae njia zetu zinazoelekea huko kwenye hizo nyumba.
ReplyDeletesasa hapa unaendaje kujisaidia, tena eti ulipie, ulipie kung'atwa na nyoka hapo kwenye nyasi, ulipie kuonwa unapojisaidia, maana hiyo ni transiparent.
kweli huduma nzuri zinapatikan kila mahala naona vijan wanajitahidi sana
ReplyDeleteHii kali!! Kwa wale wanaotumia maji kujiswafi akili mkichwa, na sie tutumiao tissue naona green tissue bwerere tena karibu na mlango!!!
ReplyDeleteHii itakuwa Mikoa ya kusini au Kigoma, tabora, Shinyanga nk.
ReplyDeleteKama huna alternative utalipia tu!
ReplyDelete