Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2012

    Hivi hawa hawakumwelewa Nyerere, kwamba tujenge nyumba zetu kwa matofari, na tukwae njia zetu zinazoelekea huko kwenye hizo nyumba.
    sasa hapa unaendaje kujisaidia, tena eti ulipie, ulipie kung'atwa na nyoka hapo kwenye nyasi, ulipie kuonwa unapojisaidia, maana hiyo ni transiparent.

    ReplyDelete
  2. kweli huduma nzuri zinapatikan kila mahala naona vijan wanajitahidi sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2012

    Hii kali!! Kwa wale wanaotumia maji kujiswafi akili mkichwa, na sie tutumiao tissue naona green tissue bwerere tena karibu na mlango!!!

    ReplyDelete
  4. Hii itakuwa Mikoa ya kusini au Kigoma, tabora, Shinyanga nk.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2012

    Kama huna alternative utalipia tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...