Baba akiwa kazini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2012

    This is must be in Ghana or any other West African countries

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2012

    Huyu jamaa ni jasri wa kuigwa.Watu wote wanaohusika na biashara za vyakula yawapasa kuwa wasafi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2012

    AISAEEEE NIMEMPENDAJEEEE HUYUUU MAANA NAHISI HAIJATOKEA SAFI SANAAA HATA NDIZI ZAKE ZITANUNULIWA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2012

    Ebwanaeee. Kwa bongo itakuwa ngumu saaaaana. haswa kwa kizazi hiki kinachojisikia na kuchagua kazi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2012

    Ha ha haaaaaa... safi sana. halaf sijui kwanini mi naona kama ni kampala

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2012

    jamaa yupo clean kuliko hata viongozi wetu wengine,atakuwa Mnyasa huyu jamaa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2012

    Watu wa aina hii niliwaona jijini ACCRA,Ghana kule karibu na stendi kuu ya Mabasi.Nimeona Rangi ya Taxi kwa nyuma hapo.Kuna 'vitu' kadhaa niliviona Accra,kama Dar vile..Nikawa najiuliza,Dar ilijifunza Acrra au kinyume chake??

    1:Wauza bidhaa ndogo ndogo kwenye makutano ya barabara(kwenye mataa)..Accra wengi ni akina dada na akina Mama ndiyo wanakimbiza bidhaa barabarani vichwani mwao(sana sana ndizi mbivu)

    2:Mtu ana nyumba yake,duka kwa nje na anauza na bia mbili tatu kwa watumiaji wa wachache.

    3.Dereva Taxi anaendesha gari akipata kimteremko kidogo anaondoa gia('free/neutral),mnaserereka,eti anaokoa mafuta.

    4:Wapiga debe kwenye 'daladala'

    5:Mengine ni siri sana siwezi kuyaweka hadharani hapa....!!

    David V

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2012

    Kazi ni kazi bora iwe halali mkono wende kinywani!

    Jamaa ni Mbunifu sana, ni wazi ndizi zake zitanunuliwa haraka maana watajua Bosi anawahi Ofisini tumuwahishe tuzinunue tuzimalize ili aondoke !

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2012

    Ili kuganga maisha,

    Kulingana na Ugumu wa Maisha, itafikia wakati watu watasalimu amri wenyewe na kubeba masinia ya ndizi na mihogo!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2012

    Mabingwa wa kuulamba Duniani,

    Hapa itakuwa lazima ni Malawi !

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 04, 2012

    hii kenya....jaramogi kwa suti!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 04, 2012

    I saw the like in Mwanza, but he was selling senene

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 04, 2012

    Kwa sisi Wabongo kuwa na mavazi ya Suti na Tai,,,Asalaleeee mtu yupo tayari ashinde na njaa akiogopa kuomba chakula kwa vile amevaa suti!

    Mtu akiwa na suti, kula chakula gengeni kwa Mama ntilie anakula kwa kujificha!

    Mtu anaweza kuvaa suti hakafu akakosa nauli ya basi, sasa angalia anachofanya yupo tayari aende kwa miguu akirudi nyumbami usiku , au kama ni mchana atapita njia za vichochoroni asionekane!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...