Home
Unlabelled
jipende kama uipendavyo kazi yako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is must be in Ghana or any other West African countries
ReplyDeleteHuyu jamaa ni jasri wa kuigwa.Watu wote wanaohusika na biashara za vyakula yawapasa kuwa wasafi.
ReplyDeleteAISAEEEE NIMEMPENDAJEEEE HUYUUU MAANA NAHISI HAIJATOKEA SAFI SANAAA HATA NDIZI ZAKE ZITANUNULIWA
ReplyDeleteEbwanaeee. Kwa bongo itakuwa ngumu saaaaana. haswa kwa kizazi hiki kinachojisikia na kuchagua kazi.
ReplyDeleteHa ha haaaaaa... safi sana. halaf sijui kwanini mi naona kama ni kampala
ReplyDeletejamaa yupo clean kuliko hata viongozi wetu wengine,atakuwa Mnyasa huyu jamaa.
ReplyDeleteWatu wa aina hii niliwaona jijini ACCRA,Ghana kule karibu na stendi kuu ya Mabasi.Nimeona Rangi ya Taxi kwa nyuma hapo.Kuna 'vitu' kadhaa niliviona Accra,kama Dar vile..Nikawa najiuliza,Dar ilijifunza Acrra au kinyume chake??
ReplyDelete1:Wauza bidhaa ndogo ndogo kwenye makutano ya barabara(kwenye mataa)..Accra wengi ni akina dada na akina Mama ndiyo wanakimbiza bidhaa barabarani vichwani mwao(sana sana ndizi mbivu)
2:Mtu ana nyumba yake,duka kwa nje na anauza na bia mbili tatu kwa watumiaji wa wachache.
3.Dereva Taxi anaendesha gari akipata kimteremko kidogo anaondoa gia('free/neutral),mnaserereka,eti anaokoa mafuta.
4:Wapiga debe kwenye 'daladala'
5:Mengine ni siri sana siwezi kuyaweka hadharani hapa....!!
David V
Kazi ni kazi bora iwe halali mkono wende kinywani!
ReplyDeleteJamaa ni Mbunifu sana, ni wazi ndizi zake zitanunuliwa haraka maana watajua Bosi anawahi Ofisini tumuwahishe tuzinunue tuzimalize ili aondoke !
Ili kuganga maisha,
ReplyDeleteKulingana na Ugumu wa Maisha, itafikia wakati watu watasalimu amri wenyewe na kubeba masinia ya ndizi na mihogo!
Mabingwa wa kuulamba Duniani,
ReplyDeleteHapa itakuwa lazima ni Malawi !
hii kenya....jaramogi kwa suti!
ReplyDeleteI saw the like in Mwanza, but he was selling senene
ReplyDeleteKwa sisi Wabongo kuwa na mavazi ya Suti na Tai,,,Asalaleeee mtu yupo tayari ashinde na njaa akiogopa kuomba chakula kwa vile amevaa suti!
ReplyDeleteMtu akiwa na suti, kula chakula gengeni kwa Mama ntilie anakula kwa kujificha!
Mtu anaweza kuvaa suti hakafu akakosa nauli ya basi, sasa angalia anachofanya yupo tayari aende kwa miguu akirudi nyumbami usiku , au kama ni mchana atapita njia za vichochoroni asionekane!