Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akiagana na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, baada ya kuwa na mazungumzo, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo.




Katibu chinga sana maongezi na watu wa pande hiyo, asije akakuingiza mjini. hao ni watalaam wa 411 (Corruption.
ReplyDeleteC.C.M,,,,,C.C.M,,,,C.C.M !!!
ReplyDeleteMpaka Balozi wa Wajanja Nigeria naye ni C.C.M?
Ama kweli wacha niimbe kidogo,
-----------------------------------
C.C.M Pambalama ,C.C.M Pambala Poteleli C.C.M EEE, Poteleli CCM Pambalama! X3
Balozi anawakilisha Nigeria, ina maana lazima azingatie nchi yote ni Tanzania.
ReplyDeleteAmevaa nyuzi rangi ya CCM kwa kuwa,
Lakini kwa mahesabu yake ya Ki Nigeria ya Kiusanii na Kiutaalamu akagundua kuwa CCM itatawala Tanzania Daima !
Hivyo ndio maana yake!