Mdau Patricia Kiswaga akiwa ameshika Nondoz yake mara baada ya kutunukiwa rasmi katika Mafahali ya nguvu yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya "New England Collage of Graduate and Professional Studies", nje kidogo ya Jiji la New York, Marekani. Jumla ya wanafunzi 180 walilamba nondozi zao katika tasnia mbalimbali, kati ya hao wanafunzi nane akiwamo Patricia walitunukiwa shahada pili ya Public Policy.

Mdau Patricia Kiswaga ni Mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Amelamba Nondozi yake Shahada ya pili ya Masters of Arts Degree in Public Policy ambayo ameisomea katika Chuo Kikuu cha "New England Collage of Graduate and Professional Studies". Globa ya Jamii inampa Hongera na pongezi za dhati Mdau Patricia kwa mafanikio hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2012

    hongera sana mamaa kwa kuramba nondooz hiyo hata na mimi nafikiria kuchukua course hii ni poa sana imetulia, thanks bro michuzi kwa kutuwekaa taarifa hii
    kila la kheri dada

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2012

    Hongera sana Patricia. Inatia moyo kuona wasichana wenye bidii ya kujiendeleza kielimu na kimaisha. Nakutakia kila la heri na Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2012

    Tishaaaaa Twiga....Go Pat...hongera mama

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2012

    Hongera sana dada hayo ndio mambo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2012

    Hongera sana dada 'Pati'.Keep well

    David V

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2012

    Hongera Mnooooooooooooooooooooo Mdau Patricia tokea Miss Tanzania mpaka Masters ya pili, yaani natamani wasichana wanaopenda mambo ya ulimbwende wangejifunza kutoka kwa watu kama nyinyi na Hoyce Temu kuanzia ulimbwende, elimu na kujiheshimu

    Hongera sana sana sana kwa umri mdogo ulionao na mafanikio yako

    Mdau NY

    ReplyDelete
  7. Hongera sana Patricia!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2012

    Hongera sana mdogo wangu, mungu kutangulie katika kila jambo!huzidi kutuwakilisha wakina Segito wote.. lov from Stockholm!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2012

    Tanzania needs more women like you Patricia! Women who fight for what they believe in! You have shown courage, persistence, maturity and above all you have given yourself the most important tool a woman could have....You represent us women well and I wish you the best of everything in the years to come...You could be our next Balozi in the near future...I will drink to that!!!! Wanyalu tuko juu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...