Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Evarist Ndikilo (kushoto) akikabidhi kitita cha Shilingi Milioni 9 kwa Mlezi wa timu ya soka ya Pamba ya Jijini Mwanza,Charles Masalakulangwa kwaajili ya maandalizi ya kujiandaa na michuano ya makundi kuwania nafasi kutinga ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao. Pamba iliyopangwa katika kituo cha mkoa wa Kigoma inahitaji kuwa na kiasi cha shilingi milioni 25 ili kuweza kushiriki vyema mashindano hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Evarist Ndikilo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa soka waliofika ofisini kwake.Picha G Sengo Blog.




Not clear, Is that his own money or public funds? If those are public funds, then why spend them on losing team when wananchi wengine have no food or housing or education facilities.
ReplyDeletePriorities za viongozi wetu was Bongo - nizakuchekesha!!!