Home
Unlabelled
MWANADIASPORA REV. JOHN MBATTA ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mi nilijua huyu baba alimkimbia mkewe, kumbe bado wapo wote. My God, he is still a student and planning to go back. You better stay in America
ReplyDeleteUtasutwa. Hujui maisha ya watu, kaa kimya usije ukaumbuka @anonymous hapo juu
ReplyDeleteKuna wanadamu wameumbwa kuzusha. Yule mama anakuja huku kila leo na wajukuu zake. Kama umeshindwa ku-comment kuhusu topic inayoongelewa ni heri ukae kimya. And learn not to question other peoples life plans. If u have that much time in your hands, then use it wisely
ReplyDeleteHuyu bwana si mtu wa kudharau. Anaheshimika sana hapa. Anatarajia kupokea shahada yake ya PhD mwaka hu. Alisha mtafutia mke wake green card na ndiyo sabau anakuwa Tanzania mara Marekani. Usikurupuke na kuandika maneno bila kufahamu siri ya mtu. Huyu Bwana ni ana mashahada kibao na ni Bomba wacha.
ReplyDeleteWatu jamani ni waajabu kweli. Aliyeandika hapo anamfahamu kweli huyu Kaka? Ngoja nikueleweshe. Huyu bwana amefanikiwa kuwaleta watoto wake wote sita hapa America na wote wamesoma na kuhitimu na kubeba shahada ya Bachelor. Kati ya hao watatu wana Masters. Yeye mzee mwaka huu 2013 anabeba PhD. Mke wake yuko hapa kila mwaka na anakaa miezi mingi tu, ana green Card. Sasa wewe unayesema kamwacha mke wake sijui una maana gani? Hata kama wametengana, huyu bwana anamtunza vilivyo. Huyu bwana ni Bomba wacha.
ReplyDeleteNimeshangazwa kusoma habari ya jamaa aliye comment hapo mwanzoni. Nilimtembelea huyu mzee nyumbani kwake huko marekani nilipo- visit Amerika mwaka jana mwishoni. Nikamkuta baba huyu na mke wake na wajukuu. Sijui huyo ndugu aliokota wapi habari aliyoandika. Tuweni waangalifu tunapotoa comments.
ReplyDelete