Bwana Harusi,Simon Mwamba akiwa amembeba mkewe Bibi. Madeline Mtweve kandokando ya Ziwa Victoria mara baada ya kufunga pingu za maisha hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu Augustino lililopo Mkolani jijini Mwanza.
Maharusi wakiwa katika pozi la furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha jijini Mwanza na baadaye kufuatiwa na sherehe ya mapokezi iliyofanyika katika Viwanja vya Yatch Club jijini humo.





Mhhh...masamaki tu kwa kwenda mbele!
ReplyDeleteHongereni sana mmependeza na jiji lenu la Mwanza - Rock City view is breathtaking!
ReplyDelete