Bwana Harusi,Simon Mwamba akiwa amembeba mkewe Bibi. Madeline Mtweve kandokando ya Ziwa Victoria mara baada ya kufunga pingu za maisha hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu Augustino lililopo Mkolani jijini Mwanza.
Maharusi wakiwa katika pozi la furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha jijini Mwanza na baadaye kufuatiwa na sherehe ya mapokezi iliyofanyika katika Viwanja vya Yatch Club jijini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2012

    Mhhh...masamaki tu kwa kwenda mbele!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2012

    Hongereni sana mmependeza na jiji lenu la Mwanza - Rock City view is breathtaking!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...