Wachawi walionaswa huko jijini Mwanza,wakihojiwa na wanahabari.
Nabii Abigaili Zumaridi wa kanisa hilo Ufunua akisimulia kilichotokea.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Isn't this staged? I strongly suspect it is. Sorry "nabii"...
ReplyDeleteInawezekana wamepandikizwa kuleta umaarufu kwa kanisa. Kwanini wakutwe na Mchungaji na Nabii kwa wakati mmoja. Kwanini Mlinzi wa kanisa hilo hakuwaona. Iweje wachawi wasafiri wamebeba zana(matungili) nyingi hivyo badala ya hirizi na ungo tuu. Iweje mchawi anabeba mkuki wa chuma na amevaa kimasai. Wachawi wanaokamatwa huwa uchi wa mnyama. Bwana Apewe Sifa.
ReplyDeletePeople like these, wanatufanya tuendelee kubaki ugaibuni tusirudi nyumbani. They make me Sick..Grrrrr
ReplyDeleteHabari ndugu zangu,yale yale ya Kwa Babu Wa Loliondo. Wenye akili wafikirie,manake kuna watu wanataka umaarufu.Ni sawa na wale wanaosema wanaponya vilema,sijui wanawapumbaza nani.Muumba akipenda Watanzania akili zao zitafanya kazi.
ReplyDeletewachawi kiboko yao jina la Yesu kristo tu, hapo lazma wapige saluti
ReplyDeleteKwanini ujuzi huu tusiutumie kwa manufaa badala ya kudhuru. Kwa mfano kupaa toka sehemu moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu.
ReplyDeleteHebu fikiria Ankali sasa hivi yupo Maryland kwa gharama kubwa. Tungeweza kumpeleka na akafanya kazi yake kwa gharama ya jogoo mweusi tu!!!
Huu uongo wa kupindukia,...Mfano wa haya mazingaumbo tunayoelezewa ni kama wanavyoandaliwa watu wazima wa afya kisha wakajifanya kama vilema kwa muda halafu wanakwenda kuponea pale jukwaani kwa miujiza ya uongo,...huo ni usanii watu walishawashtukiaga loooong time jipangeni tena.,,Baada ya kushindwa zile mbinu za mazingaumbwe ,..Siku hizi wanatumia uchawi wa ki-Nigeria,...haya kazi tunayo watanzania.
ReplyDeleteHUU NI UTAPELI, WATU WANAFANYA BIASHARA NA KUMCHEZEA MUNGU!WABANE VIZURI HAWA VIJANA WATASEMA NANI NINANI, UTASHANGAA KUKUTA NI DILI LA MCHUNGAJI NA NABII WAKE.
ReplyDeleteKUMBE SIKO MBALI NA UKWELI NIMEONA MAONI YA WADAU YOTE UTADHANIWA WAMEPIGIANA SIMU. ANKAL ALIYELETA HII TAARIFA,MCHUNGAJI NA NABII WAKE WOTE WAKAMATWE WAJIELEZE POLISI.SIKU NYINGINE CHAMBUA MCHELE NA PUMBA NDO UTUSUKUMIE WALAJI....
ReplyDeleteWadau nipeni namaba ya mchungaji na nabii wake waniombee...ila mimi siyo mchawi.
ReplyDeleteWatu hawa wa kanisa wanataka umaarufu.Hii ni mpango.Hawa watu wawili wamepandikizwa tuu kwa manufaa ya kanisa.Jamani yote hii ni umasikini.Wanachukua watu masikini na kuwatwisha uovu wao.Nina hakika 100%
ReplyDeleteWivu kitu kibaya sana. Acheni wivu!
ReplyDeleteDont be naive people, ivi vitu vipo na vinatokea, kazi ya shetani ni kuwafanya watu wasiamini kama yuko hapa duniani kuua, kuiba na kuharibu, sidhani kama ni wamepangana, na hata kama wamepangana, kwa jina la Yesu Kristo aliye hai kila kitu kitajulikana hata kilicho tendeka gizani na nyuma ya milango! I pray for their freedom ili wamjue na kumtumikia Mungu. Amina
ReplyDeleteWalokole tulishwazoea. Mnapenda kuzusha ili mpate umaarufu na kuharibu imani za watu wengine. Ajenda yenu ni kuharibu sifa ya kanisa katoliki ndio maana kila ubaya manaoupandikiza lazima kuwepo na kitu cha kikatoliki. Huyo kijana aliyejiita mkatoliki mmempandikiza ili ionekane kanisa katoliki linafuga wachawi. Hata wasabato walipoanza walikuwa wanafanya hivyo na mwisho hawakufanikiwa kanisa liliendelea kudumu. Hizo tunazijua ni njama za marekani. Wenye akili mtatulia na wajinga mtaendelea kudanganywa na kutangatanga huku wenzenu wakivuna pesa zenu.
ReplyDelete