Wachawi walionaswa huko jijini Mwanza,wakihojiwa na wanahabari.
Nabii Abigaili Zumaridi wa kanisa hilo Ufunua akisimulia kilichotokea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Al MusomaMay 21, 2012

    Isn't this staged? I strongly suspect it is. Sorry "nabii"...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2012

    Inawezekana wamepandikizwa kuleta umaarufu kwa kanisa. Kwanini wakutwe na Mchungaji na Nabii kwa wakati mmoja. Kwanini Mlinzi wa kanisa hilo hakuwaona. Iweje wachawi wasafiri wamebeba zana(matungili) nyingi hivyo badala ya hirizi na ungo tuu. Iweje mchawi anabeba mkuki wa chuma na amevaa kimasai. Wachawi wanaokamatwa huwa uchi wa mnyama. Bwana Apewe Sifa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2012

    People like these, wanatufanya tuendelee kubaki ugaibuni tusirudi nyumbani. They make me Sick..Grrrrr

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2012

    Habari ndugu zangu,yale yale ya Kwa Babu Wa Loliondo. Wenye akili wafikirie,manake kuna watu wanataka umaarufu.Ni sawa na wale wanaosema wanaponya vilema,sijui wanawapumbaza nani.Muumba akipenda Watanzania akili zao zitafanya kazi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2012

    wachawi kiboko yao jina la Yesu kristo tu, hapo lazma wapige saluti

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2012

    Kwanini ujuzi huu tusiutumie kwa manufaa badala ya kudhuru. Kwa mfano kupaa toka sehemu moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu.

    Hebu fikiria Ankali sasa hivi yupo Maryland kwa gharama kubwa. Tungeweza kumpeleka na akafanya kazi yake kwa gharama ya jogoo mweusi tu!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2012

    Huu uongo wa kupindukia,...Mfano wa haya mazingaumbo tunayoelezewa ni kama wanavyoandaliwa watu wazima wa afya kisha wakajifanya kama vilema kwa muda halafu wanakwenda kuponea pale jukwaani kwa miujiza ya uongo,...huo ni usanii watu walishawashtukiaga loooong time jipangeni tena.,,Baada ya kushindwa zile mbinu za mazingaumbwe ,..Siku hizi wanatumia uchawi wa ki-Nigeria,...haya kazi tunayo watanzania.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2012

    HUU NI UTAPELI, WATU WANAFANYA BIASHARA NA KUMCHEZEA MUNGU!WABANE VIZURI HAWA VIJANA WATASEMA NANI NINANI, UTASHANGAA KUKUTA NI DILI LA MCHUNGAJI NA NABII WAKE.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2012

    KUMBE SIKO MBALI NA UKWELI NIMEONA MAONI YA WADAU YOTE UTADHANIWA WAMEPIGIANA SIMU. ANKAL ALIYELETA HII TAARIFA,MCHUNGAJI NA NABII WAKE WOTE WAKAMATWE WAJIELEZE POLISI.SIKU NYINGINE CHAMBUA MCHELE NA PUMBA NDO UTUSUKUMIE WALAJI....

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2012

    Wadau nipeni namaba ya mchungaji na nabii wake waniombee...ila mimi siyo mchawi.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2012

    Watu hawa wa kanisa wanataka umaarufu.Hii ni mpango.Hawa watu wawili wamepandikizwa tuu kwa manufaa ya kanisa.Jamani yote hii ni umasikini.Wanachukua watu masikini na kuwatwisha uovu wao.Nina hakika 100%

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2012

    Wivu kitu kibaya sana. Acheni wivu!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 21, 2012

    Dont be naive people, ivi vitu vipo na vinatokea, kazi ya shetani ni kuwafanya watu wasiamini kama yuko hapa duniani kuua, kuiba na kuharibu, sidhani kama ni wamepangana, na hata kama wamepangana, kwa jina la Yesu Kristo aliye hai kila kitu kitajulikana hata kilicho tendeka gizani na nyuma ya milango! I pray for their freedom ili wamjue na kumtumikia Mungu. Amina

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2012

    Walokole tulishwazoea. Mnapenda kuzusha ili mpate umaarufu na kuharibu imani za watu wengine. Ajenda yenu ni kuharibu sifa ya kanisa katoliki ndio maana kila ubaya manaoupandikiza lazima kuwepo na kitu cha kikatoliki. Huyo kijana aliyejiita mkatoliki mmempandikiza ili ionekane kanisa katoliki linafuga wachawi. Hata wasabato walipoanza walikuwa wanafanya hivyo na mwisho hawakufanikiwa kanisa liliendelea kudumu. Hizo tunazijua ni njama za marekani. Wenye akili mtatulia na wajinga mtaendelea kudanganywa na kutangatanga huku wenzenu wakivuna pesa zenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...