Home
Unlabelled
ajali dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Barabara ya Kilwa Road!!!!! upo sawasawa kweli??
ReplyDeleteHivi jamani hii mitaro ni lazima ikae wazi? Ukiiangalia ni mikubwa sana na imesababisha ajali nyingi sana hadi sasa. Gari ndogo ikidondoka humo inaingia yote. Kwa nini isifunikwe ili hata dereva akishindwa kulidhibiti gari lake basi litoke tu nje ya barabara badala ya kutumbukia katika jimtaro namna hii?
ReplyDeleteUkiachia uzembe wa baadhi ya madereva na ubovu wa magari, lakini hata ujenzi mbaya wa miundo mbinu ya barabara huchangia ajali na kusababisha misiba ama vilema kwa watumiaji wa barabara.
ReplyDeleteHii mitaro isiozibwa ama kuwekewa kingo ni faida kwa nani kama siajali kama hizi.
kwako muandishi; Chanzo cha habari ama ajali hakikuweza kujulikana mara moja.
Du mambo ya kazini jamaa Dereva amemshikia mtu 'babu' anayekaribia kustaafu lakini aliyekwenda kidogo Likizo!
ReplyDeleteSasa Dereva Kijana mgeni ile anapewa Lori anafika Mzunguko,,,ahhh jamaa hakuona kona wala mzunguko wowote, ila kati kati ya barabara anaona ng'ombe anakuja anakimbia mbele yake!
Ohhh jamaa asiliingize Lori mtaroni?