Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimefurahishwa na huduma hii toka kwa wabongo... sasa hata zawadi na nguo zinazonibana nitawatumia ndugu kijiji... Hongereni wanadiaspora!
ReplyDeleteNdugu Rais, huo uraia wa nchi mbili nakuomba ushupalie utoke mapema , watu wanajituma huku tena kwa nidhamu kubwa ya kazi, hawakuja kucheza huku, huku hakuna mjomba wa shangazi, sijui utakwenda kubomu msosi, no, ni wewe na Mungu wako tu, wakati mwingine unabeba box sehemu mbili na ni lazima uwahi kazini,Mjuishi au Mlebanon hakuachi na mavi ukimharibia kazi zake,hizo F utazikoga tu. Hii kwa kweli imechangia tukakomaa. Zebedayo msema kweli, safarini shinyanga.
ReplyDeleteSafi sana, nilikuwa naumia sana kuona UK peke yao ndio wameweza hii kitu. Nashukuru kwa kuanzishwa huduma hii na hapa natumai sasa mizigo itakuwa inaenda poa maana ilikuwa ngumu kutafuta watu wa kusaidiana kujaza contena. God bless you all na zaidi tunasubir kuziona gharama zenu na nyinyi zikiwekwa wazi
ReplyDeleteAisee safi sana ila muwe mnatoa updates za meli kuondoka mapema ili watu tutume mizigo iwahi.
ReplyDeleteTunashukuru tumepata watu wa kazi wa USA sasa. Naanza fungasha niwatumie nduguz na kaka yangu Michuzi
ReplyDelete