Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2012

    Nimefurahishwa na huduma hii toka kwa wabongo... sasa hata zawadi na nguo zinazonibana nitawatumia ndugu kijiji... Hongereni wanadiaspora!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2012

    Ndugu Rais, huo uraia wa nchi mbili nakuomba ushupalie utoke mapema , watu wanajituma huku tena kwa nidhamu kubwa ya kazi, hawakuja kucheza huku, huku hakuna mjomba wa shangazi, sijui utakwenda kubomu msosi, no, ni wewe na Mungu wako tu, wakati mwingine unabeba box sehemu mbili na ni lazima uwahi kazini,Mjuishi au Mlebanon hakuachi na mavi ukimharibia kazi zake,hizo F utazikoga tu. Hii kwa kweli imechangia tukakomaa. Zebedayo msema kweli, safarini shinyanga.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2012

    Safi sana, nilikuwa naumia sana kuona UK peke yao ndio wameweza hii kitu. Nashukuru kwa kuanzishwa huduma hii na hapa natumai sasa mizigo itakuwa inaenda poa maana ilikuwa ngumu kutafuta watu wa kusaidiana kujaza contena. God bless you all na zaidi tunasubir kuziona gharama zenu na nyinyi zikiwekwa wazi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2012

    Aisee safi sana ila muwe mnatoa updates za meli kuondoka mapema ili watu tutume mizigo iwahi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2012

    Tunashukuru tumepata watu wa kazi wa USA sasa. Naanza fungasha niwatumie nduguz na kaka yangu Michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...