Mwanamuziki nyota wa muziki wa taarab nchini, Isha Mashauzi hivi karibuni aliwapagawisha mashabiki wakati alipofanya onyesho katika mji wa Den Haag nchini Uholanzi. Isha, ambaye anamiliki kundi la muziki huo la Mashauzi Classic, alipelekwa huko na promota King James.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2012

    hii picha ni ulaya?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2012

    Mambo ya Wabongo wakitumbuiza Majuu, kaazi kweli kweli!

    Tulisikia Msanii wa Muziki mmoja alipokwenda Marekani akatumbuiza kwa kuifanya Sitting Room ya mtu kama Ukumbi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2012

    Taarab???????????. Hii niTarabu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2012

    Hahahahahahahaha!! huyo mshikaji wa kwanza alieuliza "picha hii ni Ulaya?"...hahahahahaha!! ndio Ulaya,si Ushaambiwa hapo ni Uholanzi. Sio Bagamoyo hiyo mkuu. Ni Holland kwa Mark van Bastern.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2012

    ....hii picha ni ulaya?

    Mdau wa kwanza kama huamini kuwa hapo ni Ulaya basi itakuwa hao hapo wapo katika foleni ya kupata kikombe, ni Loliondo kwa Babu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2012

    Huyo Mdau wa kwanza ameulizia kama hiyo picha ni Ulaya kwa kuona hizo pazia zimekaa kibongo bongo kama vile shuka zimetundikwa mlangoni.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2012

    Naungana na aliyeuliza kama picha ni ya ulaya kwasababu mandhari waliyopo hao kidogoooo kama bongo vileee make wenzetu wametuacha kiduchu maukumbi sasa hapo ni kama sebule la mtu hivi bongoooo??? teh teh

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2012

    Jamani eeh! zipo sehemu ulaya ukizipiga picha, huwezi ukadhania....kwani mlitaka kila picha ya huko ionyeshe towers, wazungu pamoja na miundo mbinu yoooote ambayo huku kwetu hakuna? Kwa kuwasaidia tu wale wenzangu waliofika Ukerewe, kuna sehemu karibu na Ealing Broadway, London ukisafiria Central Line ukichukua picha relini hapo, achilia mbali majengo yaliyo jirani.....hata Mpiji/Pugu kuna nafuu. Jamani hii ni dunia. tusikariri sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...