
Mwanamuziki nyota wa muziki wa taarab nchini, Isha Mashauzi hivi karibuni aliwapagawisha mashabiki wakati alipofanya onyesho katika mji wa Den Haag nchini Uholanzi. Isha, ambaye anamiliki kundi la muziki huo la Mashauzi Classic, alipelekwa huko na promota King James.


hii picha ni ulaya?
ReplyDeleteMambo ya Wabongo wakitumbuiza Majuu, kaazi kweli kweli!
ReplyDeleteTulisikia Msanii wa Muziki mmoja alipokwenda Marekani akatumbuiza kwa kuifanya Sitting Room ya mtu kama Ukumbi!
Taarab???????????. Hii niTarabu.
ReplyDeleteHahahahahahahaha!! huyo mshikaji wa kwanza alieuliza "picha hii ni Ulaya?"...hahahahahaha!! ndio Ulaya,si Ushaambiwa hapo ni Uholanzi. Sio Bagamoyo hiyo mkuu. Ni Holland kwa Mark van Bastern.
ReplyDelete....hii picha ni ulaya?
ReplyDeleteMdau wa kwanza kama huamini kuwa hapo ni Ulaya basi itakuwa hao hapo wapo katika foleni ya kupata kikombe, ni Loliondo kwa Babu!
Huyo Mdau wa kwanza ameulizia kama hiyo picha ni Ulaya kwa kuona hizo pazia zimekaa kibongo bongo kama vile shuka zimetundikwa mlangoni.
ReplyDeleteNaungana na aliyeuliza kama picha ni ya ulaya kwasababu mandhari waliyopo hao kidogoooo kama bongo vileee make wenzetu wametuacha kiduchu maukumbi sasa hapo ni kama sebule la mtu hivi bongoooo??? teh teh
ReplyDeleteJamani eeh! zipo sehemu ulaya ukizipiga picha, huwezi ukadhania....kwani mlitaka kila picha ya huko ionyeshe towers, wazungu pamoja na miundo mbinu yoooote ambayo huku kwetu hakuna? Kwa kuwasaidia tu wale wenzangu waliofika Ukerewe, kuna sehemu karibu na Ealing Broadway, London ukisafiria Central Line ukichukua picha relini hapo, achilia mbali majengo yaliyo jirani.....hata Mpiji/Pugu kuna nafuu. Jamani hii ni dunia. tusikariri sana
ReplyDelete