Na Mohammed Mhina, Zanzibar
![]() |
| Kiongozi wa Jumuiya ya kikundi cha UAMSHO, Sheikh Farid Hadi Ahmed |
ZANZIBAR IJUMAA JUNI 1, 2012. SIKU moja tu baada ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu mjini Zanzibar kuhusiana na Vurugu zilizotokea wiki iliyopita, leo Kiongozi wa kundi la Uamsho Sheikh Farid Hadi Ahmed, amezungumza na Waandishi wa Habari na kusema kuwa wataendelea na harakati zao ya kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mpaka kieleweke.
Sheikhe Farid ambaye amelaani vikali vitendo vya uharibifu wa mali ukiwemo wa uchomwaji moto magari na baadhi ya makanisa mjini Zanzibar, amesema pamoja na wao kulisaidia Jeshi la Polisi katika kukusanya taarifa za kuwabaini wale wote waliohusika na uharibifu huo, lakini pia wataendeleza harakati za kudai kura ya maoni ya kupinga Muungano wa Jamhuri ya Tanzania.
Ingawa alikataa wafuasi wake kushiriki katika vurugu, lakini amesema leo wanakesha msikitini kuwaombea heri vija wote waliokamatwa kufuatia vurugu hizo ili waachiliwe bila ya masharti.
Sheikhe Farid pia amewalaumu baadhi ya vijana wakiwemo wa chama kimoja cha siasa kuwa wao ni miongoni mwa wanzilishi wa vurugu hizo.
Amesema kwa hatua hiyo anajenga imani kuwa miongoni mwa watu waliochoma makanisa siku ya tukio hilo, walikuwa ni mmoja miongoni mwa vijana hao na wanakamilisha taarifa zao ili kuwapatia Polisi kwa hatua zao.
Amesema mbali ya kuwa Serikali imepiga marufuku mikutano na maandamano, lakini Jumuiya yao ya Uamsho itafanya Mhadhara mkubwa Jumapili Juni 3, mwaka huu kwenye Viwanja vya Lumbumba mjini Zanzibar mhadhara ambao utafuatiwa na maandamamo yatakayofanyika Juni 26, mwaka huu.
Wakati wa mkutano huo, Sheikhe Farid pia amevilaumu baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini na kusema wameandika habari zenye chumvi nyingi na kuupotosha umma kwa kuongeza hofu miongoni mwa wananchi wa ndani na nje ya Zanzibar.
Hata hivyo Shehe huyo ameshindwa kufafanua baadhi ya hoja alizoulizwa na waandishi wa habari kwa mfano kuzibwa kwa barabara kwa mawe na magogo ya minazi ama kuchomwa matairi na makanisa kuwa inauhusiano gani na madai ya kuwepo kwa muungano.



deal hilo ustaadh endelea kukazana....zanzibar ukiwa mbishi sana unaingizwa kwenye serikali kama CUF hivyo nanyie jitahidini mpate nafasi yenu kwenye serikali ya umoja.hicho ndio mnataka na njaa zenu hakuna lolote.
ReplyDeletemmeona wapi wachochizi waliopo, mnawasingizia bure waislamu kama yale yale yaliyotokea marekani na duniani kwengineko, wazanzibar bwana waungwana toka mwanzo tulikuwa na wakiristo wetu wa kizanzibar na mbona tulikuwa hatuwachomei nyumba zao za kuabudiwa iweje leo,
ReplyDeleteukweli kukidhihirika uongo hujitenga, mnaona sasa rahman inshalla atatusadia sisi na wenginewe wanaopenda amani katika viziwa hivi viwili pamoja na bara amin
Los Angeles
safi sana sheikh hapa mpaka kieleweke kimoja tu, hatuna haja ya muungano hii ndio mada kubwa ya mihadhara
ReplyDeletesisi wanzanzibari huu muungano hatuutaki, hayo ya makanisa, magari kuchomwa moto ni hao hao ccm, sio mihadhara kwani sisi lengo letu nikuwa huu muungano hatuweebu
Naona mwarabu anataka kurudi kwa nguvu
ReplyDeleteSh Faridi safi sana
ReplyDeleteHawa waserikali wanajaribu kudivert hoja ya msingi "kura ya maoni ya muungano"
Haya ni primary madai, hii kuchoma makanisa , gari ni janja na mbinu za kizamani ambazo hazina nafasi katika siasa za leo
Kinachotakiwa ni kura ya maoni, ndugu zangu wa Tanganyika amkeni hali si shwari tena, musilale mukishikilia makanisa, Zanzibar ukristo uliingia mwanzo kuliko Tanganyika na kanisa lililojengwa 18s mpaka leo liko, haya ni kudanganyana tu na kupakaziana chuki. Ukitaka kumuua mbwa unamwita jina baya kwanza.
Madai ya Mwamsho ni very credible, watanganyiaka waungeni mkono tupate muungano nzuri wenye maslahi kwa pande zote mbili. kinachopiganiwa ni structure ya muungano na si ukiristo,uislam wala ubudha.
Amkeni na nyinyi mupate serikali yenu ya Tanganyika musionewe na vijisiwa kadogo
Mdau LA
sasa nyinyi wa zanzibari hivi mnaweza kupigana vita na wabantu? muungano utakua pale pale hizo ni kelele tu lkn wembe ni ule ule hao wakina sultan warudi kwao mbona wanangangania eeeh
ReplyDeletetatizo ni kwamba bongo au zenji kawauzia hawa waaarabu wa ki oman uraia wa tanzania ndo wanaleta haa malumbano. piga shaba hao wazamiaji wote wa kiarabu warudi ma kwao oman nk!!! africa kwa waafrica tu. minyaa ni hii piaaa misupu? meseji senti
ReplyDeleteWe want "rule of law" ili tupate amani. Kwani Zanzibar hatuna sheria ya kuwadhibiti wafanya fujo?
ReplyDeleteNyerere alipowakataa baadhi ya watu kuwa Marais, watu walimuona hafai. Sasa tumeanza kuyaona!
ReplyDeletemie nimesoma yote tuu
ReplyDeleteyaani kama HAMAS kabisa au TARIBAN - chadema wataingiza hii nchi kwenye mashaka makubwa jamani !
ReplyDeleteHaya matatizo nilazima yapate ufumbuzi.
ReplyDeleteHaiwezekani tusumbuliwe na watu wachache huko Visiwani.
Ni bora tuuvunje Muungano lakini Bara tunaweza kubakia na jina hili hili la TANZANIA badala ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Hao Wazanzibar pia watake kuuvunja Muungano lakini wasifikiri kuwa na manufaa ya upande mmoja, mfano wavinje Muungano halafu waendelee kukaa bure kwetu na kutumia rasilimali zetu bure na fedha zetu za kodi.
Kama wanataka Muungano uvunjike na uvunjike lakini wawe tayari kukabiliana na SERA ZETU MPYA DHIDI YAO.
Inawezekana pia kama Kila mmoja atajitegemea, Zanzibar na Tanganyika.
ReplyDeleteLakini sio Muungano uvunjike halafu mmoja anufaike na mwingine ilhali hakuna Muungano!
waarabu warudi oman na huyu sheikh akae akijuwa hii ni africa sio oman na wala si alshabb tunasema tukiamuka watarudi oman na boti bantu people hawakutokea oman
ReplyDeleteKazi ni rahisi sana!
ReplyDeleteIBADA NA KAZI SERIKALINI!
Sheikh Farid apewe Uimamu wa Msikiti wa Ikulu Zenji atatulia tu, kwani tatizo nini?
tungepata cv ya huyo sheikh ndoyo tungeweza kuchambua vizuri kama anaelewa anachoongea na kukipigania au ni kibaraka tu! Maana wengine wanapambania hoja kwa nguvu na wala si nguvu ya hoja. Mimi bado nina mashaka nae sana huyu!
ReplyDeleteHuyu kiwango chake cha elimu ni kipi? maana elimu nayo ni muhimu ukiwa unawaongoza watu. Bila elimu ya kutosha huenda ikawa ni tatizo hata unachokiongea kitakuwa na upungufu au mapungufu ya busara.
ReplyDeleteSheikh Faridi msimo huo huo ni mpaka kieleweke, muungano hatuutaki hizo njama zao ni za kitoto kabisa. na ndugu zetu watanganyika tunawashangaa hamtaki utaifa wenu huo ni utumwa munaogopa vivuli vyenu wenyewe sisi tukitembea dunia nzima tunaona fahari kujinasibu na uzanzibari wenu ila nyie munakataa utaifa wenu hebu sisi tuazcheni tutoke then kama nyie muna njaa na utanzania mutaendelea kujiita watanzania. sisi muungano basi
ReplyDeletewewe unaesema piga shaba hao warabu hivi nikikuuliza wewe na huo msaada wa mabasha zako wa kimarekani unaowategemea
ReplyDeleteambao sasahivi wamepitisha sheria ya kuoana wanaume sheria ambayo kwakuwa mnategemea misaada kutoka kwao mtaingizwa kwenye sheria hizo na kesho utakuja kumuoa kaka yako ulale nae kitanda kimoja
hivi nikikuuliza warabu utawaweza wewe kivita? hivi dunia inatetemeka kila siku kwa vita za warabu
leo hii wewe mgona nesara au mlala njaa unajisifu eti unaweza vita za warabu?
hivi kuna nchi hata moja ya africa inaweza kuzichapa na mwarabu?
mwarabu anawatesa mabasha zako wamarekani na ulaya yote kwa ujumla kila siku wanarudishwa makwao wakiwa maiti
hivi unajuwa vita ya mwarabu inaweza kudumu miaka mingapi?
hahaha wacha nicheke mimi wanaume wakiongea nawewe unataka kuongea na kujigamba na hilo panga lako ukapigane vita na mwarabu?
pigana na njaa zako na magonjwa alafu ndio umtafute mwarabu mwenye kulalia kitanda cha dhahabu
ANKALI CHONDE CHONDE NIWEKEE HAYA MAJIBU YA HUYO ANAEITA WATU WARABU ALAFU KESHO ANALALAMIKA KUWA DUNIA INA UBAGUZI?
NANI ANAANZISHA UBAGUZI?
MTANZANIA MWENYE ASILI YA KIARABU AU KIHINDI UNAMUONA KUWA SIO MTANZANIA?
JE MZUNGU AKIWA NA URAIA WA KITANZANIA UTAJISIFU KILA SIKU NCHI YENU INA WAZUNGU?
ACHANA NA MAMBO YALIYOPITA NA WAKATI NDIO MAANA HUTOONA MWARABU ANASHIRIKI KWENYE MICHEZO AU UMISS SABABU MNAJULIKANA WALALA NJAA KWA UBAGUZI MNAONGOZA.
ASANTE ANKALI KWA KUZALIWA MUUNGWANA.
chonde chonde watanzania wenzangu tusijiingize kwenye vita ya kidini
ReplyDeletehivi hao warabu au waislamu wakiamua kweli watuletee alshababu tu patatoka mtu hapo?
wale watu wana uzoefu wa kupiga vita na kulenga watu usiombe
tusikae tunategemea jeshi letu ambalo kula kulala
hao warabu wapo fiti sana kivita mtake msitake tunaweza kufutiwa nchi yetu kwa wiki moja tu.
kumbukeni libya ya miaka ile ya idi amini ilikuwa libya changa
ReplyDeletelibya ya leo hii ina vifaa na uzoefu wa kupigana vita chama cha muslim brothers kinasonga mbele kutetea maslahi ya waislam
leo hii mnataka vita na waislamu hivi wakisema waombe msaada nchi jirani somalia libya egypt nigeria patatoka mtu hapo bongo?
mungu tujaalie amani nchi yetu na tuzidi kuwa wamoja ameen.
Watanzania tuwe makini sana Na Daima tuogope ushabiki holela!
ReplyDeleteUtengamano huu wanaoutaka hao Uamsho ni Kuelekea UANGUKO Mbaya na wa AIBU. Na baada ya hapo Haitakuwa shwari kamwe. God Bless Us All
Nyinyi watanganyika kwani bila Zanzibar hamuendi ? acheni kujizalilisha nyinyi mna kila kitu si muendelee tu na muwaachie na wazanzibar na zanzibar yao. Nashangaa kuona wazanzibar walio kidogo kila siku wanasema hawataki Muungano ila nyinyi Mlio mamilioni bado hamjamiani ata kuitamka tanganyika mnaona aibu vinywani mwenu.Inashangaza sana dah? Waswahili husema kimfaacho mtu chake kuweni faghari na tanganyika yenu .
ReplyDeleteOna namna watu wabara walivyokuwa na akili finyu. kwanza Sheikh Farid asili yake si mwarabu kabisa, ulizeni muambiwe asili ya mababu zake. Pili hao wanaosema wazanzibari kuhimili vita kumbukeni zanzibar tumepata mapinduzi hatukupewa uhuru wa kwenye karatasi kama tanganyika.
ReplyDeleteHUYO MWARABU ARUDI KWAO OMANI.
ReplyDeleteNA WAZANZIBAR WALIOKO TANGANYIKA WARUDI KWAO ZANZIBAR TUONE NANI WATAATHIRIKA ZAIDI. UJINGA MTUPU TU HUO.
daa huyo mwarabu sio kabsa...njia wanayotumia si nzuri japo intention ni nzuri la msingi ni kutumia njia zakibusara bila kuathiri vbaya wengine....lasiivyo hawatafka wanapopataka
ReplyDeletesheikh safi sana mpaka kieleweke wanachoma wao CCM makanisa halafu wanatusingizia sisi ili kutuziba kauli zetu tusitete nchi yetu wapi wameula wa chuya this time.
ReplyDeletewatanganyika wa kiislamu tungeni mkono sisi ndugu zenu toka zamani tulikuwa tuna amani yetu na tukishi kwa wema na ihsan na upendo mkubwa na ndugu zetu wa kikiristo iweje leo hii watuite wazamiaji,tunaokumbatia waarabu wana jua fika UISLAMU WETU NDO NGUVU YETU NA WANATAKA KUUUWAA LAKINI HAWATOWEZE INSHALLAH
FANYENI MTAKAVYO FANYA AT THE END OF THE DAY MUNGU MWENYE MILKI YOTE NA UFALME WOTE ATATUPA NCHI YETU AMIN
mimi nasubiri tu vita vya wazenji na watanganyika halafu nione nani mshindi lkn duuh nyinyi warabu sitaki mpigane manaa hapo zanzibari sio kwenu fanyeni mrudi kwenu mkapigane na marekani mnangangania kwani africa ni kwenu? shame on you mlivo tesa waafrica kuwafanya watumwa sasa nasema hivi rudini makwenu mkauze mafuta halafu mlalie vitanda vya zahabu. mbona hamsikii hiyo zanzibari niya waafrica sio ya warabu. omani ni kubwa sana kajengeni huko bado nafasi zipo tena kuna bahari sio mchezo
ReplyDeleteSIO WAZANZIBAR WOTE WASIOTAKA MUUNGANO WENGINE TUNAUTAKA NA KUPENDA MUUNGANO MSITUJUMUISHE KWENYE MAKUNDI YENU YA FUJO NYIE MTAKUWA WALE WA KISIWA CHA PILI TU, RUDINI BASI MKACHUME KARAFUU MTAWALIWE NA WARABU MTUWACHIE UNGUJA YETU KWA AMANI
ReplyDeletewewe wa mwisho si dhani kama kweli mzanzibari wewe,na wa kisiwa cha pili ndo ndugu zetu wa kufa na kufaana na kupona na tumechanganyka nao so siju unasema nini hapa.wewe si mzanzibari wewe ungekuwa kweli mzanzibari ungejua uchungu wa ndugu, jamaa zako wewe.
ReplyDeletenenda huko huko baraa ukaishi