

MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aaaaaahhhhhhhhhhh
ReplyDeleteHii ni safi sana,ni muhimu kwa kiongozi wa nchi kuwa katika hali nzuri ya iafya ili aweze kuudu hali ya kazi yake.
ReplyDeleteKeep it up Dkt J. Kikwete.
Hiyo Dkt. ni kwa vile wau wa michuziblog wanaipenda saana. teh teh.
Naona Jamaa pembeni wako loaded!
ReplyDeletemzee shikamoo naomba hiyo traksuit nimeipenda mzee
ReplyDeleteTumuunge mkono Rais Jk kwa kufanya mazoezi ni muda mrefu sana sijawahi ona picha ya rais wetu akila tiz kama hivi. Nakumbuka ya Mwisho ilikuwa ya Mzee wetu Mwinyi tena akiwa Iringa nazani ni barabara ya Nduli Hongera rais
ReplyDeleteNimefurahi sana kumwona amiri jeshi wetu mkuu na mpendwa akiongoza kwa mfano. Mtu ni afya.
ReplyDeleteMazoezi hasa kwetu sisi wafanyakazi tunaoshinda tumekaa maofisini tukiwa tunafanya kazi ni muhimu sana. Kukaa kwa masaa mengi kunapunguza siku za kuishi hapa duniani. Mazoezi yanachangia kwa kiasi kikubwa kuimarisha afya na kujikinga na magonjwa shime tujenge tabia ya kufanya mazoezi kwa manufaa yetu na ya taifa letu.
ReplyDeleteMkuu you have made my day!
ReplyDeleteHahahaha!KITAMBI NOMA CLUB(ARUSHA)Mpo juu namwona mdau Robert ngoboma kwa pembeni.....good!!!
ReplyDeleteBig up Raisi. Imebaki kutengeneza miundo mbinu ili asilimia zaidi ya wananchi waanze kula tizi .
ReplyDeleteSiyo mpaka kuwe na JKT kama zamani.
Hongerasana Mhe. Rais kwa kuonesha mfano kwa vitendo. washauri maafisa wako serikalini waelewe vitambi nomaa! wengi wanapata vitambi muda mfupi baada ya kupata vyeo...
ReplyDeleteMie binafsi naona NOMAA kubwa kuona wanajeshi, awe askari wa polisi au JW au magereza loh wengi vitambi mbele hata magwanda hayakai vizuri.
Baba Mkuu wa Nchi Rais JK,hongera kwa hili,sasa tunakuomba tabia hii lazima uipereke katika jeshi la Polisi, Baba kule Jeshi la Polisi ni noma sana,kuna maofisa wa vyeo vya juu sana wanavitambi.
ReplyDeleteBaba chonde chonde,vibosile wa Polisi wanashindana kwa vitambi aka makaburi ya kuku,tena maofisa hao wamenona mno baba !.katika maofisa wote wa jeshi la polisi wanaofanya vizuri na wako gado ni kina Ras Makunja pekee yao,wao wakati wowote wapo tayari kwa fujo aka muziki
Sawa Kiongozi cha kuongeza ni kuwarudishia Mateja JKT ili nao watoe unga kwenye damu zao na kuwa fit kiafya kama wewe Mhe.Raisi !!!
ReplyDelete