FABAK FASHIONS CHINI YA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSIN IMEFANYA MAMBO MAZITO NDANI YA JUNETEENTH HARITAGE FESTIVAL HUKO CALIFORNIA, MAREKANI, MWISHONI MWA WIKI NA KUIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA KWENYE FANI YA MITINDO. PICHANI NI MAMODO WALIONADI MITINDO YA FABAK KWENYE TAMASHA HILO AMBALO HUADHIMISHWA KILA MWAKA MNAMO JUNI 19 KUSHEREHEKEA SIKU AMBAYO WATUMWA WOTE WA MAREKANI  WALIPOACHIWA HURU.


. PICHANI TOKA SHOTO NI ASIA, JIMMY HENDRIX, MWANDAAJI MOZA MJASIRI NA KHAMSIN 'FIFTY' ALKHAG BAADA YA ONESHO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2012

    Hivyo vilemba si vyetu. Ni vya wa West Africa. Wangevaa kimasai.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2012

    Jimmy Hendrix?Mwaka gani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2012

    Anonymous wa kwanza hapa juu: Afrika ni moja, iwe ya mashariki au magharibi. Hasa huko USA. Wacha ufinyu wa mawazo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2012

    Jimi Hendrix wa kweli alifariki mwaka 1970.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...