FABAK FASHIONS CHINI YA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSIN IMEFANYA MAMBO MAZITO NDANI YA JUNETEENTH HARITAGE FESTIVAL HUKO CALIFORNIA, MAREKANI, MWISHONI MWA WIKI NA KUIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA KWENYE FANI YA MITINDO. PICHANI NI MAMODO WALIONADI MITINDO YA FABAK KWENYE TAMASHA HILO AMBALO HUADHIMISHWA KILA MWAKA MNAMO JUNI 19 KUSHEREHEKEA SIKU AMBAYO WATUMWA WOTE WA MAREKANI WALIPOACHIWA HURU.
. PICHANI TOKA SHOTO NI ASIA, JIMMY HENDRIX, MWANDAAJI MOZA MJASIRI NA KHAMSIN 'FIFTY' ALKHAG BAADA YA ONESHO.
Hivyo vilemba si vyetu. Ni vya wa West Africa. Wangevaa kimasai.
ReplyDeleteJimmy Hendrix?Mwaka gani?
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza hapa juu: Afrika ni moja, iwe ya mashariki au magharibi. Hasa huko USA. Wacha ufinyu wa mawazo.
ReplyDeleteJimi Hendrix wa kweli alifariki mwaka 1970.
ReplyDelete