Home
Unlabelled
MKUTANO WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM LEO: WAKEREKETWA WAMIMINIKA JANGWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamaa kweli mambo safi, wameekewa na viti. Bado magodolo ya kulala.
ReplyDeleteHONGERENI KWA KUPATA NAFASI YA KUHUDHURIA MKUTANO WENU
ReplyDeleteUzuri wa upinzani ni kwamba unafanya chama kilichopo madarakani kuwajibika zaidi.
ReplyDeleteMkutano huu umewaleta mawaziri ili waeleze kinachofanyika kuboresha maisha ya mtanzania. Ingekuwa sio kelele za CHADEMA wangetuambia haya na kwa uwazi huu?.
Na uzuri wa hili ni kwamba sasa wananchi(na vyama vya upinzani) wanaweza kufuatilia haya na kuyadai zaidi.
Idumu Tanzania ya vyama vingi maana itauletea maendeleo
David K
Nape Nnauye, wewe ndie publicity secretary wa CCM na ulitakiwa uandae mambo kama haya toka kale. Tafadhali huu moto uzidi kuwashwa maeneo yote ya nchi ili Watanzania waelewe CCM inafanya nini. Siku zote ilikuwa hata maji tunakunywa kwa shida kwa vishindo vya wapinzani ambavyo kimsingi havina mashika, lakini kwa vile wao ndio waliokuwa wakisema basi ndio waliosikika.
ReplyDeleteHongera Nape kwa kuzinduka, tafadhali endelea na hii program kwa kufuta nyayo zote za wapinzani.