Malezi ya watoto huanzia katika familia kushoto Mtoto Sharon Mwakifulefule (3) akimkabidhi msaada wa katoni ya juice mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagara Chamanzi jijini Dar es Salaa.Hafla hiyo ilifanyika wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 3 ya kuzariwa.
Sharon Mwakifulefule akimlisha keki mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagara Chamanzi jijini Dar es Salaa wakati aliposherhekea miaka mitatu ya kuzaliwa, jumla ya vitu mbalinbali vilitolewa ikiwemo magunia mawili ya mchele.
Sharon hongera sana kwa kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa, Mwenyeez Mungu akukuze, akulinde na akujaaliye kila yaliyo mema katika maisha yako. Uendelee na moyo huo huo wa huruma na upendo na kuendelea kuwapenda watoto wenzako na wote wanaokuzunguka kwa kadri unavyoendelea kukuwa. Nimependa the way ulivyosherehekea "Birthday" yako kwa kuwakukumbuka na kujumuika nao kwa pamoja watoto wenzako khususan hao MAYATIMA. Love you Sharon and "Happy Birthday" may GOD bless you!
ReplyDeleteThis is how we should raise our kids, let them know these virtues of life from an early age. God bless this family...!
ReplyDeleteThis is cute! Just imagine kama kila familia yenye uwezo ingefanya hivyo tungefika wapi.... Kwa kweli hongereni sana Sharon na wazazi wako. Mungu awazidishie na kuwabatiki.....
ReplyDeleteThis is a good one! I like it, keep it baba na mama, Mwenyezi Mungu amjaalie mtoto wenu aendelee hivyo hivyo...!
ReplyDeleteAbsolutely beautiful, I strongly agree with others this is how kids need to be raised.
ReplyDeleteThis is so beautiful. Happy Birthday Sharon!
ReplyDeleteHongereni wazazi wa Sharon kwa kuwashirikisha watoto yatima katika siku muhimu ya Sharon. Mwenyenzi Mungu azidi kuwabariki.