Malezi ya watoto huanzia katika familia kushoto Mtoto Sharon Mwakifulefule (3) akimkabidhi msaada wa katoni ya juice mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagara Chamanzi jijini Dar es Salaa.Hafla hiyo ilifanyika wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 3 ya kuzariwa.
Sharon Mwakifulefule akimlisha keki mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagara Chamanzi jijini Dar es Salaa wakati aliposherhekea miaka mitatu ya kuzaliwa, jumla ya vitu mbalinbali vilitolewa ikiwemo magunia mawili ya mchele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sharon hongera sana kwa kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa, Mwenyeez Mungu akukuze, akulinde na akujaaliye kila yaliyo mema katika maisha yako. Uendelee na moyo huo huo wa huruma na upendo na kuendelea kuwapenda watoto wenzako na wote wanaokuzunguka kwa kadri unavyoendelea kukuwa. Nimependa the way ulivyosherehekea "Birthday" yako kwa kuwakukumbuka na kujumuika nao kwa pamoja watoto wenzako khususan hao MAYATIMA. Love you Sharon and "Happy Birthday" may GOD bless you!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2012

    This is how we should raise our kids, let them know these virtues of life from an early age. God bless this family...!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2012

    This is cute! Just imagine kama kila familia yenye uwezo ingefanya hivyo tungefika wapi.... Kwa kweli hongereni sana Sharon na wazazi wako. Mungu awazidishie na kuwabatiki.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2012

    This is a good one! I like it, keep it baba na mama, Mwenyezi Mungu amjaalie mtoto wenu aendelee hivyo hivyo...!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2012

    Absolutely beautiful, I strongly agree with others this is how kids need to be raised.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2012

    This is so beautiful. Happy Birthday Sharon!
    Hongereni wazazi wa Sharon kwa kuwashirikisha watoto yatima katika siku muhimu ya Sharon. Mwenyenzi Mungu azidi kuwabariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...