Kutoka kushoto:Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Meneja wa Miradi wa UNODC Bw Anthony Buckingham, Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Tarawally, Mkuu wa Polisi wa UN Bi. Janice Mcclean, Mwakilishi Mkazi wa UNOPS Bw Omary Mjenga na wa mwisho kulia ni Mkuu wa Jeshi la Majini. Vifaa hivi vimenunuliwa na UNOPS kusaidia kupambana na biashara ya madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa binadamu
 Mwakilishi Mkazi wa UNOPS Bw Omary Mjenga akikabidhi magari
Moja ya boti zilizokabidhiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2012

    Assalam Alaykum, Mdau Omary Mjenga!

    Tuwakilishe tunakutegemea!a

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2012

    Mwenyezi mungu azidi kukupa mafanikio na busara bwana Mjenga, umekuwa mfano wa kuigwa hasa kwa vijana wenzio. Hii ni hazina ya nchi yetu. Nawaasa vijana wengine pia kuwa na dira na malengo kwa huyu kijana mwenzio. Mzee wako SSJ.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2012

    Tarawally umekaa vibaya, umetanua na umembana Mcclean, fuata protokali za picha,muige Buckingham amekaa vizuri na pozi lake.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2012

    wakilisha mjenga wenye wivu wajibebee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...