Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
Mwenge wa Uhuru leo Umeingia Kisiwani Zanzibar ambapo Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Kapteni Honest Mwanossa ameweka mawe ya msingi na kuzindua miradi mbali mbali ya maendeleo katika mkoa wa mjini Magharibi.
Akiweka jiwe la Msingi la kituo kidogo cha Polisi cha Kombeni Mjini Zanzibar, kiongozi huyo amewataka viongozi wa Kitaifa kuepuka ufujaji wa fedha za wananchi na kujiingiza kwenye ufisadi na kuwataka wafanye mambo kwa maslahi ya Taifa.
Awali katika risala yao kwa Kiongozi wa mbio za Mwenge, wananchi wa Makombeni wameliomba Jeshi la Polisi kuangalia uwezekano wa kuharakisha ujenzi wa kituo hicho ili kupunguza kero ya uhalifu katika eneo hilo.
Moja ya ujumbe wa Mwenge wa mwaka huu umehimiza umuhimu wa kila mmoja wetu kuhesabiwa katika Sensa ya kitaifa ili kuiwezesha Serikali kupanga vema maendeleo kwa wananchi wake.
Mwenge huo umewasili kisiwani Zanzibar ukiotokea mkoa wa Lindi ambako ulikuwa ukikimbizwa katika wilaya mbalimbali za mkoa huo.
Ukiwa Kisiwani hapa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa atazindua na kuweka mawe ya msingi ya miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya na mikoa yote mitano ya Unguja na Pemba kabla ya kuendelea na mbio zake katika mikoa mingine ya Tanzania Bara.



1.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
ReplyDeleteMWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
2.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
3.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
4.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
5.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
6.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
7.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
8.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
9.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
10.MWENGE HUO MWENGE MBIOMBIO!
MWENGE TUNAUKIMBIZA MBIOMBIO!
KUZUNGUKA TANZANIA YOTE MBIOMBIO!
HADI VISIWANI ZANZIBARI MBIOMBIO!
WAPINGA MUUNGANO MUKOME MBIOMBIO!
(Mwimbo mara X 100,000,000.....)
Kama hamtaki Wapinga Muungano mtakufa na kijiba cha roho mhamie Omani kabla Mwenge haujawafikia kuwachoma na moto wake maeneo yenu!
MUUNGANO OYEEEEEEEE!!!!!!!!
NI MIMI MWANA MAPINDUZI ZANZIBARI!
Mwenge ndio huo kwetu Visiwani,,,Muungano siye twautaka, asiyeutaka naafe zake atangulie!
ReplyDeleteMdau wa Mkunazini Zanzibar
Ahhh wapi sie Muungano kwetu ni faraja,
ReplyDeleteMwaona hapa Zenji sheria kali,
Bara twavuta, twanywa, twapata mademu kwa raha zetu sasa ukivinjika tukastarehe wapi?
Mdau umenikumbusha mbali sana, enzi za Iringo Shule ya Msingi, Musoma..Mie nilimaliza 1988
ReplyDeleteMwenge huo mwenge, mbio mbio
Mwenye tunaukimbiza, mbio mbio
Milimani, mabondeni, mbio mbio
Wenye macho wauone, mbio mbio
Vipofu wausikie, mbio mbio