Kwa niaba ya familia ya Mr & Mrs Stanslaus Kaganda tunatangaza kifo cha ndungu Flavian Stanslaus Kaganda(26.08.1981 - 07.06.2012) aliyefariki hospitali ya taifa Muhimbili tar 07/06/2012 na kuzikwa makaburi ya kinondoni tar 09/06/2012.

Taharifa ziwafikie ndugu jamaa na marafiki,wanajumia wa shule ya sekondari Loyola/Alumni Association na Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Bwana Ametoa,Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe.AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2012

    R.I.P Brother,ulikuwa CR wangu pale IFM,ADIT wote tatakukumbuka daima.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2012

    R.I.P Flavian. Ulinipita darasa tukiwa Loyola, ila ulikuwa mtu watu na ukujali uliongea na kila mtu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana Lihidimiwe. Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...